Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Mkuu karibu tena pia wasamehe wote waliokuzushia yasiyo ya ukweli wowote
Waombee tu Mungu awasamehe na kuwapa maisha marefu wazidi kukuona kwenye Nafasi yako pendwa.
 
Dah juzi nilikua na mzee .wanakijiji mshana na eiyer na wakuu wwngine kibao tulikua tunapanga hitima yako maana kulikua hakuna namna na haya mambo ya siku iz mara kibiti mara saa tisa ni mtihan tutaanza kurudisha rambirambi tulizopokea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada kama mwishoni ameshauri watu 'wasizushe' lakini amesahau kwamba kulikuwa kuna 'ombwe' la taarifa sahihi kwa sababu yeye muhusika hakuaga rasmi hatokuwa jukwaani kwa muda fulani

Jukwaa (Jamii) ina haki kufikiria vyovyote kama muhusika hakusema sababu ya kutokuwa 'active' na pia ukizingatia nafasi ya muhusika jukwaani

Na kwa upande mwingine inaonyesha tunaishi katika 'hofu' kama jamii ndo maana kuna hizo issue za kutekana ziliibuka hapa kuna kitu hakipo sawa

Pia ni dalili ya watu ambao tupo 'hasi' katika namna zetu za kufikiri tunawaza mabaya muda mwingi hasa kwa wenzi wetu

Lakini pia kulikuwa na some jokes tu
Ndio hivyo aisee, ila utata nimeutoa kwa hiyo ondoeni hofu
 
Back
Top Bottom