Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #261
Yeah niliona kwenye ule uzi, ila bado watu hawakuamini kabisa nadhani taarifa zote watazipata hapa kwenye huu uzi sasaIla mie kuhusu "kufariki" mie nilikanusha kwa kuwa yule aliyepata ajali jina lilionesha ni mtu wa Kagera na wewe nakujua ni mtani wangu (mchaga).
[emoji113] [emoji61] brotherSawa
Mkuu kuna kitu najiuliza nashindwa kupata jibu.Mhhh Zimbabwe tena?? Hahaha hiyo taarifa niliiona mkuu nikawa nacheka tu.. warudishie rambirambi zao tu
Nimewacheki kwa ID hiihii baada ya kuona watu wameniquote na kunimention kwenye hizo thread zilizonihusu mimi, hiyo ID nyingine unayosema siielewi na siijui nimekanaMukuru ulikuwa unatumia id ya pili kuwacheki tu
DJ sepetu
[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] Ule mtambo wa Auto-reply umezeeka unakaribia kuisha makali mkuu sidhani kama utaniona pale juu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( utani)
Fresh kiongozi jebs2002Karibu tena mkuu..
Hahahah[emoji56] [emoji56] [emoji56] [emoji56] Ule mtambo wa Auto-reply umezeeka unakaribia kuisha makali mkuu sidhani kama utaniona pale juu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ( utani)
Huenda ndio hao mkuu watu wanaosema najihusisha nao kitu ambacho sio kweliJoseverest samahani hao Watu wa Usalama si ndiyo wale wenye Kituo cha ' Daladala ' pale Magomeni au kuna wengine tena ambao labda Sisi hatuwajui?
[emoji331] [emoji332] [emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji442] [emoji441] [emoji441] [emoji441] aah mkuu umenikumbusha Joh makini
Avaache mtaniKaribu sana.
Asante mkuu, nimeshapoaPole na masihara hayo.
Uliwezaje kujua mkuu?Yeah niliona kwenye ule uzi, ila bado watu hawakuamini kabisa nadhani taarifa zote watazipata hapa kwenye huu uzi sasa
asante mkuuMmmh wellcome back
Poa aseeh mkuu
Hayo yote unayoyasema nimeyaona kwenye notification za kwenye Account yangu hiyo hiyo jana mkuu, na ukitaka hizo thread wewe sema tuMkuu kuna kitu najiuliza nashindwa kupata jibu.
Ulikuwa nje ya JF mwezi mzima na taarifa zingine zilitolewa muda sana kiasi kwamba hata threads zake haziwezi kupatikana kiurahisi , sasa na wewe umejuaje yote hayo hali ya kuwa umekuja jana tu.?
Naaam mkuu