Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Karibu tena, kwani una uhusiano wowote na huyo Johanes aliefariki ubungo? Maana hara mimi niliamini uneshaRIP
Hapana ndugu sina uhusiano wowote na marehemu Johanes
 
Comrade......
Hii dunia ina mambo mengi sana aiseee.....
Naona kuna vijana wanazidi kumsakama Joseverest pamoja na kwamba amejitahidi kujieleza kwamba alikua katika mizunguko yake ya kawaida kwenye kutafuta ugali
Ndio binadamu hao mkuu inabidi tuwazoee
Pamoja na kujieleza alipo rejea.....
Na hata angerejea kimyakimya, bado mngesema.
Wanadam bwana......[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Mmmmh aisee, unasema kweli? watu kwa kuiba avatar hawajambo
 
Watu walijitahidi kukirithi 'kiti chako cha enzi' lakini wamefeli mbaya!

Karibu tena boss..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…