Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Comrade......
Hii dunia ina mambo mengi sana aiseee.....
Naona kuna vijana wanazidi kumsakama Joseverest pamoja na kwamba amejitahidi kujieleza kwamba alikua katika mizunguko yake ya kawaida kwenye kutafuta ugali
Ndio binadamu hao mkuu inabidi tuwazoee
Pamoja na kujieleza alipo rejea.....
Na hata angerejea kimyakimya, bado mngesema.
Wanadam bwana......[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Karibu sana, ila bahati mbaya avatar yako inatumika na mtu ambaye hana busara, mpuuzi Fulani humu JF mwenye ID mia moja kidogo, kwa sasa amefungua ID mpya yenye avatar kama yako anajiita CURICULLUM lakini ndio yule yule HR 666, YEEZUS, YEEZUS 2, Jordi pola.
Mmmmh aisee, unasema kweli? watu kwa kuiba avatar hawajambo
 
Watu walijitahidi kukirithi 'kiti chako cha enzi' lakini wamefeli mbaya!

Karibu tena boss..
 
Back
Top Bottom