Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Nilikuwa hapa hapa Tanzania (Arusha-Moshi-Dar) kwa shughuli zangu binafsi biashara/kazi...Wakati huo niliamua/nilipanga kuwa nje ya JF kwa mwezi mmoja ili kuweka hayo mambo yangu sawa.. Sina uhusiano wowote na Yule Jamaa Johanes [ RIP ] na sina ID nyingine.. hizo ID zinazotumia avatar yangu SIO ZA KWANGU na SIHUSIKI nazo kabisa... Jana usiku nimelog in ndio nikakuta hizo taarifa ndio maana nazikanusha..Nadhani umenielewa, siwezi nikajitekenya mwenyewe halafu nicheke kwa kufungua ID zaidi ya moja kwa maana sioni faida yake..naheshimu hii ID yangu ambayo iko verified

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…