Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #401
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuwahi joseverest kujoseverest the threadkaribu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Nilikuwa hapa hapa Tanzania (Arusha-Moshi-Dar) kwa shughuli zangu binafsi biashara/kazi...Wakati huo niliamua/nilipanga kuwa nje ya JF kwa mwezi mmoja ili kuweka hayo mambo yangu sawa.. Sina uhusiano wowote na Yule Jamaa Johanes [ RIP ] na sina ID nyingine.. hizo ID zinazotumia avatar yangu SIO ZA KWANGU na SIHUSIKI nazo kabisa... Jana usiku nimelog in ndio nikakuta hizo taarifa ndio maana nazikanusha..Nadhani umenielewa, siwezi nikajitekenya mwenyewe halafu nicheke kwa kufungua ID zaidi ya moja kwa maana sioni faida yake..naheshimu hii ID yangu ambayo iko verifiedMHHHHHHHHHH ULIKUWA WAPI MBONA HUTAKI KUSEMA ULIKUWA WAPI.....KUNA WATU WALIAAPA KUWA ILE AALI NI YA KWAKO? NA KWA NINI BAADA YA KUANZISHWA KWA THREAD YA KUKUHITAJI URUDI KWELI UMERUDI AU NI ID AMBAYO IMEFUNGULIWA NA KUENDELEA KUWA HEWANI TU...
NINA MASWALI MENGI AMBAYO SINA MAJIBU YAKE.. NA KWA NINI ILIKUWA VYEPESI ID YAKO KUHUSISHWA NA KIFO CHA AJALI UBUNGO...
NA SIYO HIVYO TU KUNA WATU WALITISHIWA KUTOCHANGIA HOJA YOYOTE KWENYE UZI ULIOANZISHWA HIYO ILITOKNANA NA NINI?
JE KILIKUWA NI KIPIMO CHA KUTAKA KUJUA WHO KNOWS YOU AU LAH..
BADO NAJIULIZA MASWALI MENGI SANA LABDA NIKITULIA NITASOMA KILA ALIEYCHANGIA
Hahaha n shda mkuuUmemuwahi joseverest kujoseverest the thread
Bless I
Sawa espy hebu kuja tufanye yetu[emoji8]Niko namsaidia Sky Eclat kukalangiza then baadaye tutaenda kulisakata rumba pale Hisaje...
Mkuu usijal we kuwa na kifua tuHeee.....[emoji15] [emoji15]
Mdomo wangu umebaki wazi...[emoji47] [emoji47]
Sawa Mkuu.....[emoji144] [emoji144] [emoji144]Mkuu usijal we kuwa na kifua tu
Hahaha napenda sana watoto mkuu ndio maanakarbu mkuu ila mi nachekaga k2 kimoja mbona unaoenda sana avator za watoto ?
Kweli mkuu nimerudi aseehHey man glad u are back watu walishakuzushia balaa
Pamoja sana mkuu..yalisemwa mengi aisee nimeyaona..ila ndio hivyo nimeyakanusha na maisha acha yaendeleeKaribu tena Jamvini mpambanaji, yamesemwa mengi sana asee!
PoapoaPamoja sana mkuu..yalisemwa mengi aisee nimeyaona..ila ndio hivyo nimeyakanusha na maisha acha yaendelee
Sent using Jamii Forums mobile app