Mkuu ni hapahapa Tanzania nipo kuhangaika na maisha, leo huku kesho kule ila nashukuru Mungu mambo yanaenda...... Daah aisee, hao watu nimewaona mpaka wengine wakadhani ni mimi nina double IDentity labda kumbe sio..
Hapahapa nchini bro harakati za maisha nilikuwa naweka sawahahha karibuu sasa ulikuwa wapi adi ukazua hekaheka
Hongera bro aiseeTandabui tumefungua chuo jana mm nachukua cheti cha kupiga deki cz yangu ni ya mwaka mmoja
Sijajua hata walipo mkuu, ila nimewaona mmoja ni KE na mwingine ME... anyways sihusiki na hizo IDalichokua picha yako yupo wapi ville
Ningekuwa Mod ningemzawadia BAN...
[emoji15] Katika taarifa iliyonisikitisha ndio hiyo, ila ondoa hofu mimi mzima mkuuWatu walkuzushia umekufa braza
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
poa sana mkuu nimekuelewa kabisa
shukrani ndugu.. pamoja
[emoji52] [emoji52] [emoji35] [emoji34] usimind hahaha
Mods wenyewe hawaeleweki... Kama tu kuandika naibu spika ana sura mbaya kuliko mke wangu nazawadiwa ban unategemea nini??Mchomee tu kwa MODS wampige BAN hata kwa masaa 24 LOL!
Nashukuru pia na wewe kukuona, hapana haikuwa hivyo aiseeDu nimefurahi sana kukuona jukwaani, Mimi nilijua wifi amesema no gadgets
pamoja kiongoziTulikuwa tunaigombea km njugu mkuu!karibu sana kiongozi