Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
-
- #601
watu wana maneno mengi aisee..mengi yasiyo na ukweli hahahaNaona umerudi tena baada ya kupotea humu jukwaani kwa mara ya pili.
Yaani wewe sikuwezi aisee watu wakazusha upo kwenye mtihani wa taifa wa darasa la saba
Shukrani sana mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu tena mkuu. Karibu sana.
Ulikua wapi weweShukrani sana mkuu
"Joseverest is black"
Duuh haya bwana japo sio kweliUmesahau ya kudisco chuo udsm
Naskia ulipata frustration baada ya kudisco chuo, pole mkuu kuna maisha ata bila chuo
Bebe[emoji24]
Na umeme wanazidi kukata tu...sijui shida ni niniKaribu ughaibuni mende wamearibu grid ya taifa umeme unakatika kweli
[emoji12] [emoji12] [emoji7] [emoji7][emoji8] [emoji8] [emoji8]
HahahaAmeshamaliza paper zake za form 2 huyo
Nimerudi mkuu..tupo pamojaI miss you
Jose huyo dogo kwenye avatar anaitwa nani?Nimerudi mkuu..tupo pamoja
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ngoja nitakutafuta private mkuu tuonane...mmmhChalii i saw you somewhere in Dar. Congraturation
shukrani zeshchriss..i miss you...You know?Jamani josee amerudi.....karibu
i miss you too God iz bae[emoji12] [emoji12] [emoji5] [emoji5] [emoji4] [emoji4]karbu tena mkuu.....u wea missed
Nimefurahi sana tena sana. AsanteNimerudi mkuu..tupo pamoja
Thanks MkuuWelcome back!
Nipo dizzim mkuuJose hem weka bayan wap ulikuope??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeemu tukupapase mikono yako ,maana mzimu hauna nyama