Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #601
watu wana maneno mengi aisee..mengi yasiyo na ukweli hahahaNaona umerudi tena baada ya kupotea humu jukwaani kwa mara ya pili.
Yaani wewe sikuwezi aisee watu wakazusha upo kwenye mtihani wa taifa wa darasa la saba