Joseverest is Back!! (Hatimaye nimerudi tena)

Mtoa mada kama mwishoni ameshauri watu 'wasizushe' lakini amesahau kwamba kulikuwa kuna 'ombwe' la taarifa sahihi kwa sababu yeye muhusika hakuaga rasmi hatokuwa jukwaani kwa muda fulani

Jukwaa (Jamii) ina haki kufikiria vyovyote kama muhusika hakusema sababu ya kutokuwa 'active' na pia ukizingatia nafasi ya muhusika jukwaani

Na kwa upande mwingine inaonyesha tunaishi katika 'hofu' kama jamii ndo maana kuna hizo issue za kutekana ziliibuka hapa kuna kitu hakipo sawa

Pia ni dalili ya watu ambao tupo 'hasi' katika namna zetu za kufikiri tunawaza mabaya muda mwingi hasa kwa wenzi wetu

Lakini pia kulikuwa na some jokes tu
 
welcome back hosee, dah huu uzi nimesoma huku nacheka mwanzo mwisho
 
Washabiki wako wangependa kujua mbona ulikuwa kimya maana katika makala yako hujajibu swali bali umekanusha tu kwa uliyotabiriwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…