BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,913
Welcome back bro, Joseverest
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kaukweli hapa?Mara ya mwisho kuona coment ako ulikuwa maeneo fulani ya dodoma
Usiniulize nlikuonaje [emoji23]
Hahahahaa Jose kumbe upoAiseee..
Jamaa kajaaliwa hekima na busara sana.Aiseee jamaa karibu tena mtu wa watu hata hujui kuchukia, nafrahiaga na majibu yako ya kuignore hata kama mtu kakutukana kiukweli umenifunza tabia! Karibu sna kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kuna siku mmoja aliuzwa akadai ni wewe.... Kuna watu wa ajabu sanaSijajua hata walipo mkuu, ila nimewaona mmoja ni KE na mwingine ME... anyways sihusiki na hizo ID
Jose umekanusha...lakini hujatwambia kilichokusibu mpaka ukapoteaAiseee..