Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #41
Hapana mkuu sikutekwaPoa Mkuu wengi watafurahi kukuona tena, wengine walikuwa na wasi wasi kwamba wamekuroma 🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu sikutekwaPoa Mkuu wengi watafurahi kukuona tena, wengine walikuwa na wasi wasi kwamba wamekuroma 🙂🙂
Thanks Sana BrotherWelcome back Joseverest
Nimerudi ondoa hofu im fine [emoji4] [emoji5]
Mods wenyewe hawaeleweki... Kama tu kuandika naibu spika ana sura mbaya kuliko mke wangu nazawadiwa ban unategemea nini??
Mi nimemwachia Mungu awatendee miujiza...
[emoji120] [emoji120]Nimerudi ondoa hofu im fine [emoji4] [emoji5]
Hii makitu haijawahi kuwaacha watetea haki salama...Hahahahahahaha wanaogopa ofisi zao kulipuliwa Mkuu, siku hizi ni mwendo wa mabomu tu ama nyumbani au hata kwenye ofisi.
Hii makitu haijawahi kuwaacha watetea haki salama...
![]()
Nimeamua tu mkuu, mwanzo wa siku mpyambn umerudi usiku?
Yani afazali kwa kutotolea huu utata...mi nlikuwa nashindwa hata kuuliza..ila nilikuwa nahaisi tu hawapo original..Karibu tena MkuuSijajua hata walipo mkuu, ila nimewaona mmoja ni KE na mwingine ME... anyways sihusiki na hizo ID
Fresh KiongoziPoa sana Mkuu. Tunafurahi kusikia hivyo.
Pamoja sana mkuuYani afazali kwa kutotolea huu utata...mi nlikuwa nashindwa hata kuuliza..ila nilikuwa nahaisi tu hawapo original..Karibu tena Mkuu
asante sana Miss Natafutakaribu
Pole mkuu, watz tumejengwa kwenye misingi ya unafiki, chuki, kutakiana mabaya nk.Aiseee..
Shukrani ndugu nimeshapoa, watu wanakuua kumbe hata hujafa aiseePole mkuu, watz tumejengwa kwenye misingi ya unafiki, chuki, kutakiana mabaya nk.
Karibu tena
Poa sana mkuu carbamazepineKaribu tena Joseverest
Shukrani Ngosha Jephta2003Karibu sana kiongozi
ploudly ngosha [emoji243][emoji243][emoji243]