Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
- Thread starter
- #461
Hahah pamoja sanaMi avatar yako tu mkuu inaniacha hoi....
Karibu tena mdau
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah pamoja sanaMi avatar yako tu mkuu inaniacha hoi....
Karibu tena mdau
Umeonaee. Hii ndio jf mumy.Bora umerudi yaan woote waliokuwa wa kwanza kukusema vibaya ndio waliokumiss sana
Haijanikwaza ila nimeshangaa tu kuiweka hapaNi tafaqur ya kawaida tu mkuu....[emoji144]
Kama imekukwaza, naomba unisamehe bure tafadhali....[emoji120]
ComradeComrade......
Hii dunia ina mambo mengi sana aiseee.....
Naona kuna vijana wanazidi kumsakama Joseverest pamoja na kwamba amejitahidi kujieleza kwamba alikua katika mizunguko yake ya kawaida kwenye kutafuta ugali
Asante sana Dada Shunie, hata mimi niliwamiss piaKaribu tena Jose tulikumiss sana
Kweli kabisa, natumai wameshayafuta na wasiwasi umewatokaLeo ameingia jf kwahiyo wenye mawazo mabaya yafuteni
Amigo usijali nipo AroundJoseverest
Njoo huku Mkuu, naona upepo unavumia upande wako comrade....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Karibu mkuu
poa sana mkuu maxmizerkaribu sana mkuu
*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
Poa mkuu, nilikuwa kimya kwa lengo maalum tu la kikazi/kibiashara na mambo mengine ya kifamilia...Joseverest WELCOME BACK MZEE, WATU WALIKUANDAMA SANA NIKIWEMO MIMI, MANA JAMAA WEWE KILA POST ULIKUWA WA KWANZA KUREPLY, WATU WAKAKUSEMA WEE MPAKA UKAJISIKIA VIBAYA, UKAONA ISIWE TABU NGOJA NIKAE BENCHI KUSIKILIZIA NIONE KAMA WATANIMISS AU LAH!
KIUKWELI KUPITIA NJIA HYO UMEFANYA JINA LAKO LIVUME.
HAKIKA MABAYA HUVUMA KULIKO MAZURI.
KARIBU TENA MZEE, BILA SHAKA UMEACHA TABIA YA KUWA FIRST REPLY TENA REPLIES ZAKO ZINASHANGAZA, UNAANDIKA 'ASEH', 'DUH', 'POLE SANA',.. YANI DAH AHAHA
ANYWAY, KARIBU TENA..
Good
Mkuu niajeupo na huku pia