Mtoa mada mbona kila sentensi kadhaa unaweka matusi mengi - yaani kwenye huu uzi wako wewe ndo unaongoza kutukana mitusi mizitomizito - mara mtundu, matobo na mipicha mingi - unakuwa mtu wa ajabu au wafia - wayahudi mmefundishwa matusi tu...??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli ila Imani yenu tatizo, Yaan kwasababu wakristo ndio wamejiunga na jeshi! Kuna kuvaa boxer za kijeshi ndio tatizo? Nchi za wenzetu unanunua unavaa sio Tanzania unavuliwa.Machungu ya walioliwa hao watanzania usifananishe na ujinga wa imani yako , tambua tatizo kwanza ...Hao ni watoto bado walikuw wanasoma na hao ni wazee wa miaka 63 wote .
Unaonekana una akili ndogo sna k, wazazi wa joshua na clemence hata iweje hakuna kitaziba pengo la mtoto wao .walishaenda huko kimya kimya na majibu walitoa ....Punguza ushabiki maandazi .
Hukujua tatizo mpaka leo , tafuta madogo wa SUA walioenda trip ile ndio upate majibu ...Ukifanya ugaidi utauliwa huwezi kwenda kupambania nchi ya watu .
Jamaa unafurahia kuuwawa mtanzania mwenzio na Mwarabu kisa dini aliyoleta Mwarabu?!!Joshua yuko wapi ? 😀 😀 😀 Kama mshikaki vile yaani ,risasi kama zaidi ya 10 kama anauliwa mbogo.
mvaa kobazi huyo,ana Imani ya kiarabuMachungu ya walioliwa hao watanzania usifananishe na ujinga wa imani yako , tambua tatizo kwanza ...Hao ni watoto bado walikuw wanasoma na hao ni wazee wa miaka 63 wote .
Unaonekana una akili ndogo sna, wazazi wa joshua na clemence hata iweje hakuna kitaziba pengo la mtoto wao .walishaenda huko kimya kimya na majibu walitoa ....Punguza ushabiki maandazi .
Hukujua tatizo mpaka leo , tafuta madogo wa SUA walioenda trip ile ndio upate majibu ...Ukifanya ugaidi utauliwa huwezi kwenda kupambania nchi ya watu .
Yupo salama alikuwepo siku ya October 7 eneo la tukio?. Naye alitekwa? Hauna mdogo wako huko Wala nini.Ishu imezimwa kama vijana walijiunga na jeshi lazima waliwe kichwa ...Unavaa boxer ya jeshi ...Mdogo wangu ameenda huko mbona kasema wote wako salama ...
Kwani kuvaa boksa ya jeshi ni dhambi? Mbona unakua na akili mgando kama za mabakabaka wa bongo?
Kobazi mnazirudisha Kibiti lini?.tuwape Tena mziki wa JW. Atucheki na makima sisi.Ndio hivyo migombani mshazika wawili ....Usipende kufanya ujambazi kweny nchi za watu .