Prishaz
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 2,898
- 5,020
Are you marriage councilor or psychic?
nadhani ni kansela wa ndoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Are you marriage councilor or psychic?
Hatutaki Nassari ahamie Kawe. Wananchi wa Arumeru walimchagua ili awatumikie kwa ukaribu zaidi
halima alishafanya maamuzi magumu mda mrefu sana ni mwezi wa tatu sasa......
heheh! Sasa ndo mtuambie......kati ya habari leo na wewe, nani mwenye masikio yenye matege? Lol
mara nyingi we post zako ni za kukurupuka na kutotumia akili, cha kumchafua hapo ni kipi? Kuolewa ama nini basi? Mbona ni jambo zuri na heshima kubwa kwa wenye busara? Cha msingi ni kutafuta ukweli wa hili suala na sioni kama kuna kumchafua mtu hapo! Umetaja pia magamba yamekujaje hapa, sidhani kama watanzania tumefikia kuchukiana kwa tofauti za kisiasa..!!
hilo litayasaidia magazeti ya udaku kama habari leo, jambo leo pamoja na uhuru kuthibitisha kwamba CHADEMA ni chama cha kifamilia. Mtu na mkewe, mtu na dadake, mtu na mkwewe etc. Maana kila siku wanajaribu kutafuta kibaya cha kuandika dhidi ya chadema hawapati, hili likitokea watachonga sana.

mkuu, be specific bwana! Maamuz gan hayo magumu??