Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

Hatutaki Nassari ahamie Kawe. Wananchi wa Arumeru walimchagua ili awatumikie kwa ukaribu zaidi

Nini kitatokea iwapo mbunge wa Kawe atahamia Arumeru? Hiyo utaipenda? Nini kilitokea baada ya baba William kumuoa mama Kilango? Walihamia Same ama Mtera? Je Puis Msekwa na Anna Abdallah Je? Walihamia Masasi ama Ukerewe? Think again
 
halima alishafanya maamuzi magumu mda mrefu sana ni mwezi wa tatu sasa......
 
akuna noma, cha msingi ni kuchapa kazi waliyotumwa na wanaCDM (Wazalendo.
 
Nadhani alikua anatania 2, me kwa mawazo yangu hawaendani
 
Kama anataka mb mwenzake kuna mtoto anaitwa Raya viti maalum wa zanzibar wa ukweli, siju chakula ya nani
 
haya sasa kumekucha washapewa cha kuongea basi mbona magazeti yatamuandama joshua mwaka huu utasema anaenda kuongoza ndoa basi yaishe tuangalie utendaji wa kazi
 
Duh, wakivamiwa usiku nani atatoka nje kuokoa jahazi???
 

post gani nyingine nilikururpuka? angalia usiukalie
 
Kwani siku ya wajinga si ilishapita??
 

Hapo red, ni ukweli mtupu - ataongezeka hapa:

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…