Joti hana mpinzani kwenye tasnia ya uchekeshaji

Joti hana mpinzani kwenye tasnia ya uchekeshaji

Na hela kwenye live shows ipo kwenye stand-up comedy.

kweli mkuu na huku bongo utamaduni wa kuangalia tu drama zilizo live kwa theatres hatuna. stand up comedy ndo inabaki kuwa option pekee kwenye live shows za comedy
 
Hivi joti ashawahi fanya standup comedy kweli?
Sijawai skia. Hata u MC kwenye events kubwa wanapenda kumuita Mpoki kutegemea aweke stand up comedy kiaina. Mwishowe huwa akichekesha kwa kupiga madongo watu, ikiwemo hao hao waliomualika kumpa tenda.
 
Yeah kwenye angle ya commercial inampa faida ila kwenye creativity inamdumaza

ni kweli ila ubaya commercial success ndio ishakuwa concentration ya wengi na trend ndio imeonekana njia rahisi kupata numbers.. na huko ndipo wengi wanainvest
 
Cheka tu sijawahi sikia hilo kundi mzee..

Il nakumbuka hawa wajinga wa orijino komedi standup comedy ya mwisho kuifanya ilikua ni ile ya kumdhihaki lowasa kwenye jukwaa la CCM kipimdi cha kampeni

cheka tu ni kama churchill ya kenya, ukipitia youtube utaziona japo sijaifuatilia sana recently bro
 
Cheka tu ya WCB Mondi

nilichojua ni kuwa anaipa promo baada ya kuichukua toka EATV na clouds kama media ya wasafi na si kama wameinunua kutoka kwa coy.. labda kama kuna story ingine siijui bro
 
Upo sawa. Na ndo maana namkubali Joti kwa mengine ila si stand up comedy. Kusema yeye ni the best ni kumjaza sifa zisizo stahili badala ya kumpa changamoto ajiongeze kwenye stand up comedy. Ukimuangalia Erick Omondi anajitahidi zote, hizi za ukatuni kama Joti na vile vile stand up comedy.
Eric omondi hawezi maigizo Mzee , anaweza stand tuuu , the same to Joti stand miyeyusho Ila maigizo wengine wakasome
 
nilichojua ni kuwa anaipa promo baada ya kuichukua toka EATV na clouds kama media ya wasafi na si kama wameinunua kutoka kwa coy.. labda kama kuna story ingine siijui bro
Undani wake siujui mkuu. Ila anaitangaza kama moja ya coy tanzu zake.
 
Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe. Hata script za professional jamaa anacheza vizuri Sana, kuanzia utoto , mwanamke, babu , mpaka mlala Hoi au mchungaji...jamaa pote anapita Tu fresh.

Ana uwezo mkubwa Sana hakuna WA kumfikia hapa bongo na itachukua muda kumpata mwamba kama huyu tena, nimeamua nimpe sifa zake akiwa bado hai ..... Joti asifananishwe na mchekeshaji yoyote ni kumkosea heshima Sana

Nimalizie Kwa kusema kama Una stress, huna amani, unahitaji kuburudika na hata kufurah basi angalia clip za joti nafikiri zipo YouTube .....angalizo tu huyu jamaa usipokuwa makini utamaliza hela kununua bando Kwa ajili yake.

View attachment 1760950
Nakubali hila pia Ringo anajuaa sana
 
[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] mkuu mimi sio miongoni mwa binadamu wanaocheka kwa vichekesho vyenye Rabsha nyingi

Eti mpaka mtu avae kidem dem au avae manywele, mara avae misuruali mikubwa au mishati mikubwa au wapigane pigane kama wale wapuuzi wa futuhi

Idriss anatumia akili nyingi sana kumchemesha mtu for me he is the best jamaa kauli mali tu utakuta umecheka ,the same to nalimi
Idriss anauwezo sana anajua kinoma
 
Joti namba 3 kwangu,,namba 1 kingwendu haha daah tena awe na Senga +pembe...namba 2 Max
 
Back
Top Bottom