Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Naomba useme aliye bora zaidi ni nani? Sababu raha ya kuchekesha uwe na flexibility ya aina flani! Joti namkubali sababu ya hio character! Pia ana composition ya matukio tofauti tofauti!Nakubaliana na wewe katika brand positioning ni kitu ambacho Joti kawashinda wenzake. Management yake na yeye wanapiga kazi na inaonekana hawa wengine wamelala mbali ya talents zao.
Ila tukizungumzia katika talent ya kuchekesha yeye sio bora zaidi
Wengi wako na flat character ukiangalia comedy zake 10 times in a row hutaman tena kumuona! Wanaishia kuboa tu ila Joti hachuji sababu anaswitchb