Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure sumaku Ni hatari na kuna MKWEREJoti ni Legend ila kwa kusema anachekesha kuliko wote si kweli maana anatumia nguvu nyingi sana kukuchekesha. Kuna pure talents kuna yule SUMAKU wa Mizengwe ile ni talent, au Victaza mzee Electronic Kitambo Veta. Au the late Mzee Majuto hizo ndio pure talents hata hawatumii nguvu sikiliza maneno yao tu.
Mkaliwenu huwa anajichekesha mwenyeweSema tu ni Legendi ila mchekeshaji mwenye kipaji since tumboni kwa mama ni Mkali wenu uyu baharia anajua kuchekesha aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko serious na anachokifanya, sio anafanya ilimradiJamaa ana kitu kinaitwa "awareness" Kwa kila anachokifanya , habahatishi .... Ukikuta ni mkulima , ni mkulima kweli na anayajua ya wakulima , ukikuta ni manager wa bank , anajua kila kitu kuhusu bank , ukikuta ni fundi garage au mama ntilie au muosha magar anakuwa anazijua term zote alaf anaziconvert kuingia kwenye commedy na haishiwi content ..... Huyu mwamba ni genius , wengine wanakuwa na angle moja Tu ya uchekeshaji thus why wanaishiwa maneno mapema sana
Kamuangalie Joti kwenye tamthilia ya Mwantum,[emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] mkuu mimi sio miongoni mwa binadamu wanaocheka kwa vichekesho vyenye Rabsha nyingi
Eti mpaka mtu avae kidem dem au avae manywele, mara avae misuruali mikubwa au mishati mikubwa au wapigane pigane kama wale wapuuzi wa futuhi
Idriss anatumia akili nyingi sana kumchemesha mtu for me he is the best jamaa kauli mali tu utakuta umecheka ,the same to nalimi
Sikujua kama kuna mtu huwa anamuona SUMAKU aisee. Kongole sana brother. Jamaa ana kitu sana ndani yake.Joti ni Legend ila kwa kusema anachekesha kuliko wote si kweli maana anatumia nguvu nyingi sana kukuchekesha. Kuna pure talents kuna yule SUMAKU wa Mizengwe ile ni talent, au Victaza mzee Electronic Kitambo Veta. Au the late Mzee Majuto hizo ndio pure talents hata hawatumii nguvu sikiliza maneno yao tu.
Hahaha Deogratius, mbwa! Aisee huyu fala hafai. Natoa kiingilio kbs roho nyeupe!Joti ni legend lakini ubunifu unafika mwisho. Mbinu anazotumia haziendani na ulimwengu wa vichekesho wa sasa.
Kwangu mimi joti na mpoki nawaweka kundi moja pale juu. Wote ni wakali, joti anafanya character tofautitofauti wakati mpoki anafanya mpaka stand up. Hawa wawili ndio naweza kusema wako pale juu. Kwa urahisi sana naweza kumwongeza Deo gratias aliyekuwa Cheka tu na sasa yuko watu baki kwa sababu kwenye stand up comedy kwa sasa hakuna anayemfikia.
Kiukweli wachekeshaji wetu wanahitaji kujiupdate na kujiendeleza sambamba na kubuni mbinu mpya za kuchekesha na kujijengea profile ili waweze kutoboa hata masoko ya kimataifa. Vinginevyo ndio tutakaa hapa tunajadili wababe wa comedy tunamtaja mkojani na dullyvanny!
Mkojani na tinwhite ni pure talents. Hakuna atakayeweza nibadili kwenye hili.Kuna jamaa anaitwa MKOJANI....ni balaa
Sumaku ni nani katika wale?Okay ila Joti ni mtundu tu na vituko sio mchekeshaji wa daraja hilo analopewa.
Mfuatilie Victaza au Sumaku wa Mizengwe utajua Joti hajui.
Eti mzee majuto jina lilimbeba?ulitaka abebwe na jina lako?hiyo ndo brand yake na sisi tusio na naongwa huyu ndio msanii namba moko kwa uchekeshaji,toka nasoma primary huyu mzee anavunja mbavu za watu mashuleni leo useme eti hana uhalisia,wa wap ww?uhalisia wa joti ni huko kuigiza ye mwanamke?Mzee Majuto jina lilimbeba alikuwa anafurahisha lakini sio comedian mzuri Mungu amrehemu ni kama watu wakisema Kanumba Mungu amrehemu, mimi sikuona kikubwa kwake uhalisia ulikuwa hakuna unaona kabisa huyu ana act lakini kuna watu walikuwa na wanampenda hayo ni maoni yao na naheshimu ila bado hatujapata watu waka act katika kuvaa uhusika bado, Joti yuko vizuri short video zake script zake mara nyingi wako vizuri.
Yule jamaa hana mambo mengi kama wengine ila msikilize anachokiongea ndio utajua ni mkaliSikujua kama kuna mtu huwa anamuona SUMAKU aisee. Kongole sana brother. Jamaa ana kitu sana ndani yake.
SUMAKU ni yule mtu mzima ukimtoa yule babu, Mkwere na Mkongo.Sumaku ni nani katika wale?
Mizengwe nawapenda sana kiukweli wale mabwana pamoja na yule binti stories zao zinamafunzo na kuchekesha pia, mnaweza kuangalia na familia nzima, hasa yule babu me hua ananifurahisha zaidi tena mwanae akiwa Mkwere yaani vituko.com
Yupo mang'endoWadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe ,..... Hata script za professional jamaa anacheza vizuri Sana, kuanzia utoto , mwanamke, babu , mpaka mlala Hoi au mchungaji...jamaa pote anapita Tu fresh .....
Ana uwezo mkubwa Sana hakuna WA kumfikia hapa bongo na itachukua muda kumpata mwamba kama huyu tena, nimeamua nimpe sifa zake akiwa bado hai ..... Joti asifananishwe na mchekeshaji yoyote ni kumkosea heshima Sana
Nimalizie Kwa kusema kama Una stress, huna amani, unahitaji kuburudika na hata kufurah basi angalia clip za joti nafikiri zipo YouTube .....angalizo tu huyu jamaa usipokuwa makini utamaliza hela kununua bando Kwa ajili yake....
View attachment 1760950
Mimi nimeongelea mimi wewe unaongelea sisi hapo ndio tofauti, nimesema mimi sijawahi kumkubali wewe unasema sisi tunamkubali sasa sijui unaongelea wangapi. kauli nimemkataa mimi na nimesema kuna watu wanampenda na kawaida tu kuwa na mashabiki na sio mashabiki. Joti ana character nyingi na mimi sipendi zote baadhi. Rai yakoEti mzee majuto jina lilimbeba?ulitaka abebwe na jina lako?hiyo ndo brand yake na sisi tusio na naongwa huyu ndio msanii namba moko kwa uchekeshaji,toka nasoma primary huyu mzee anavunja mbavu za watu mashuleni leo useme eti hana uhalisia,wa wap ww?uhalisia wa joti ni huko kuigiza ye mwanamke?