Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😅😅 mkuu mimi sio miongoni mwa binadamu wanaocheka kwa vichekesho vyenye Rabsha nyingi
Eti mpaka mtu avae kidem dem au avae manywele, mara avae misuruali mikubwa au mishati mikubwa au wapigane pigane kama wale wapuuzi wa futuhi
Idriss anatumia akili nyingi sana kumchemesha mtu for me he is the best jamaa kauli mali tu utakuta umecheka ,the same to nalimi
Mzee Majuto bila make-up yoyote ukimuangalia tu kabla hajaongea unawez kucheka. Kuna yule mwingine Mzee Jangala.Eti mzee majuto jina lilimbeba?ulitaka abebwe na jina lako?hiyo ndo brand yake na sisi tusio na naongwa huyu ndio msanii namba moko kwa uchekeshaji,toka nasoma primary huyu mzee anavunja mbavu za watu mashuleni leo useme eti hana uhalisia,wa wap ww?uhalisia wa joti ni huko kuigiza ye mwanamke?
Okay ila Joti ni mtundu tu na vituko sio mchekeshaji wa daraja hilo analopewa.
Mfuatilie Victaza au Sumaku wa Mizengwe utajua Joti hajui.
Mkuu ukiona mtu Yuko juu hasa katika masuala ya entertainment basi ujue hajabahatisha .... Iko hivi kipaji huwa kinaanza level ya chini , mtu anaanza kujulikana na watu wanamuelewa, asipoishiwa mbinu na content pamoja na ushawishi atahamia level ya Kati , hapa pia watu wengi zaidi watamuelewa , vivyo hivyo kama hataishiwa ubunifu ,mbinu na content atahamia level ya juu au national level ... Hapa Taifa zima wanamuelewa anakuwa amevuka vikwazo vingi na amedhihirisha hvo....Joti hajui.
Nakubaliana na wewe katika brand positioning ni kitu ambacho Joti kawashinda wenzake. Management yake na yeye wanapiga kazi na inaonekana hawa wengine wamelala mbali ya talents zao.Mkuu ukiona mtu Yuko juu hasa katika masuala ya entertainment basi ujue hajabahatisha .... Iko hivi kipaji huwa kinaanza level ya chini , mtu anaanza kujulikana na watu wanamuelewa, asipoishiwa mbinu na content pamoja na ushawishi atahamia level ya Kati , hapa pia watu wengi zaidi watamuelewa , vivyo hivyo kama hataishiwa ubunifu ,mbinu na content atahamia level ya juu au national level ... Hapa Taifa zima wanamuelewa anakuwa amevuka vikwazo vingi na amedhihirisha hvo....
Joti yupo level ya juu right now , kapita level zote , kafanya commedy nyingi Sana na bado watu Wana hamu ya kuona kazi zake cse wanamini atakuja na kitu kipya....
Ni rahsi kumshindanisha joti na hao unaowasemea may be wamekuja juu Sana lakni still wapo kwenye initial stage , bado hawajapita middle na kufikia level za juu...wengi huwa wanaishia njiani Kwa kuishiwa content na watu kuona hawana ubunifu tena....
Hata makampuni hayakurupuki Tu kumpa kazi mshikaji , jamaa ni mbunifu kwenye tangazo unaona kabisa mshikaj kalitendea haki
bado hawajafika hao kuwalinganisha na joti , mda utafika data zitasoma tutawalinganisha naye na sio kazi rahsi , wakaze
Andunje, huyu mwamba yupo vzr sannaaa, nafatilia sana comedy zake..Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa comedy , mwamba anaweza Igiza angle yoyote unayotaka wewe. Hata script za professional jamaa anacheza vizuri Sana, kuanzia utoto , mwanamke, babu , mpaka mlala Hoi au mchungaji...jamaa pote anapita Tu fresh.
Ana uwezo mkubwa Sana hakuna WA kumfikia hapa bongo na itachukua muda kumpata mwamba kama huyu tena, nimeamua nimpe sifa zake akiwa bado hai ..... Joti asifananishwe na mchekeshaji yoyote ni kumkosea heshima Sana
Nimalizie Kwa kusema kama Una stress, huna amani, unahitaji kuburudika na hata kufurah basi angalia clip za joti nafikiri zipo YouTube .....angalizo tu huyu jamaa usipokuwa makini utamaliza hela kununua bando Kwa ajili yake.
View attachment 1760950
Umetoa Boko la Mwaka. Kaa kimya mwaka mzima ufiche ujinga wako.Sema tu ni Legendi ila mchekeshaji mwenye kipaji since tumboni kwa mama ni Mkali wenu uyu baharia anajua kuchekesha aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Iddris full miyeyusho..full mizinguo..kwakifupi ni kero ni kama alivyokua masanja mkandamizaji tu..hovyo kabisaMkongwe tu halafu tuseme anafit kwenye character mbalimbali ,
Hilo la kuwa mchekeshaji namba moja kuna Nalimi Joseph halafu kuna fundi anaitwa Idriss hapana Chezea mkuu
Nadhn hata yey mwenyewe atakuaga haelewi time zingineKatika watu ambao sielewagi hata wanafanya nn basi ni Idris
Hii comment yako imenifanya nicheke, Unachekesha kuliko hata mtanga imekuwaje akakuchekeshwa na mtanga?Mimi namkubali mtanga
We kama unachekeshwa na mkali wenu basi hata Idris Sultan atakuwa anakuchekeshaSema tu ni Legendi ila mchekeshaji mwenye kipaji since tumboni kwa mama ni Mkali wenu uyu baharia anajua kuchekesha aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkubali Joti vya kutosha. Ila nakubaliana na ww kwamba kwenye stand-up comedy za kuvaa kawaida na kutema madini watu wavunje mbavu bado hatujaona uwezo wake. Mpoki alijaribu, shida yake vijembe vingi anachekesha kwa kukandia watu!
Joti zaidi kwenye mambo ya kujibadilisha na ukatuni anaweza.
Joti akiwa mlinzi ndio balaa, nafikiri neno zuri ungetumia ni “Kiraka” jamaa anaziba gap lolote lile na anatambaa nalo!Jamaa ana kitu kinaitwa "awareness" Kwa kila anachokifanya , habahatishi .... Ukikuta ni mkulima , ni mkulima kweli na anayajua ya wakulima , ukikuta ni manager wa bank , anajua kila kitu kuhusu bank , ukikuta ni fundi garage au mama ntilie au muosha magar anakuwa anazijua term zote alaf anaziconvert kuingia kwenye commedy na haishiwi content ..... Huyu mwamba ni genius , wengine wanakuwa na angle moja Tu ya uchekeshaji thus why wanaishiwa maneno mapema sana