Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap hyo ni moja ya error Kwa Sisi wapenda maadili , may be anaangalia soko, trends ya matukio na mengine ambayo as hatuyajui, hata kwenye masuala mengine anajitahd Sana Nafkr crew yake pia ipo poajoti wa sasa uchekeshaji wake umejaa ngono sana sasa hivi,mpaka unakela
Hhahahahah...Idris Sultan!!! Huyu huyu Idris anakuchekesha kweli kuna watu bandama zenu mwazitumia vibaya.
R#Ljoti wa sasa uchekeshaji wake umejaa ngono sana sasa hivi,mpaka unakela
Sidhani kama anataa amfikie brother k. Na senga.Wadau Leo nakuja kivingine , huyu jamaa nilikuwa bado sijampata vyema , Joti ni legendary anayeishi upande wa commedy , mwamba anaweza Igiza angle yyte unayotaka wewe ,..... Hata script za proffesinal jamaa anacheza vizur Sana, kuanzia utoto , mwanamke, babu , mpaka mlala Hoi au mchungaji...jamaa pote anapita Tu fresh .....
Ana uwezo mkubwa Sana hakuna WA kumfikia hapa bongo , na itachukua mda kumpata mwamba kama huyu tena ,nimeamua nimpe sifa zake akiwa bado hai ..... Joti asifananishwe na mchekeshaji yyte ni kumkosea heshima Sana
Nimalizie Kwa kusema kama Una stress, huna amani, unahtaji kuburudika na hata kufurah basi angalia clip za joti nafkr zpo YouTube .....angalizo tu huyu jamaa usipokuwa makini utamaliza hela kununua bando Kwa ajili yake....
View attachment 1760950
Kufurahisha ndio komedi yenyewe hiyo.Mzee Majuto jina lilimbeba alikuwa anafurahisha lakini sio comedian mzuri Mungu amrehemu ni kama watu wakisema Kanumba Mungu amrehemu, mimi sikuona kikubwa kwake uhalisia ulikuwa hakuna unaona kabisa huyu ana act lakini kuna watu walikuwa na wanampenda hayo ni maoni yao na naheshimu ila bado hatujapata watu waka act katika kuvaa uhusika bado, Joti yuko vizuri short video zake script zake mara nyingi wako vizuri.
Anafurahisha ule muonekano wake kuna watu wanafurahisha muonekano wao tu lakini sio kazi zao mimi sijawahi kucheka sana katika kazi zake sasa inategemea kila mtu na chaguo lake mimi nimeongelea kama mimi wako waliokuwa wanafurahishwa ila mimi hapana.Kufurahisha ndio komedi yenyewe hiyo.
Okay ila Joti ni mtundu tu na vituko sio mchekeshaji wa daraja hilo analopewa.Anafurahisha ule muonekano wake kuna watu wanafurahisha muonekano wao tu lakini sio kazi zao mimi sijawahi kucheka sana katika kazi zake sasa inategemea kila mtu na chaguo lake mimi nimeongelea kama mimi wako waliokuwa wanafurahishwa ila mimi hapana.
Hakika hayo ni matumizi mabaya ya bandama🤣🤣Idris Sultan!!! Huyu huyu Idris anakuchekesha kweli kuna watu bandama zenu mwazitumia vibaya.
kuwa siriiiiasiiiiii mkuuuSema tu ni Legendi ila mchekeshaji mwenye kipaji since tumboni kwa mama ni Mkali wenu uyu baharia anajua kuchekesha aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu anakujaa kwa kasii....Kuna jamaa anaitwa MKOJANI....ni balaa
Joti jinsi anavyofit kwenye kila idara inaonyesha ni kiasi gani ana kipaji halazimishi kuchekesha.Hao wote uliowataja ni one sided na wabakuchekesha kwenye comment only , Ila huyu jamaa Joti aisee kile ni kipaji bhana , kuanzia muonekano, anavyoongea, na hata mazingira full kucheka
Kuna watu nawashangaa eti wanachekeshwa na masanjaIdris Sultan!!! Huyu huyu Idris anakuchekesha kweli kuna watu bandama zenu mwazitumia vibaya.