Joti hana mpinzani kwenye tasnia ya uchekeshaji

Na hela kwenye live shows ipo kwenye stand-up comedy.

kweli mkuu na huku bongo utamaduni wa kuangalia tu drama zilizo live kwa theatres hatuna. stand up comedy ndo inabaki kuwa option pekee kwenye live shows za comedy
 
Hivi joti ashawahi fanya standup comedy kweli?
Sijawai skia. Hata u MC kwenye events kubwa wanapenda kumuita Mpoki kutegemea aweke stand up comedy kiaina. Mwishowe huwa akichekesha kwa kupiga madongo watu, ikiwemo hao hao waliomualika kumpa tenda.
 
Yeah kwenye angle ya commercial inampa faida ila kwenye creativity inamdumaza

ni kweli ila ubaya commercial success ndio ishakuwa concentration ya wengi na trend ndio imeonekana njia rahisi kupata numbers.. na huko ndipo wengi wanainvest
 
Cheka tu sijawahi sikia hilo kundi mzee..

Il nakumbuka hawa wajinga wa orijino komedi standup comedy ya mwisho kuifanya ilikua ni ile ya kumdhihaki lowasa kwenye jukwaa la CCM kipimdi cha kampeni

cheka tu ni kama churchill ya kenya, ukipitia youtube utaziona japo sijaifuatilia sana recently bro
 
Cheka tu ya WCB Mondi

nilichojua ni kuwa anaipa promo baada ya kuichukua toka EATV na clouds kama media ya wasafi na si kama wameinunua kutoka kwa coy.. labda kama kuna story ingine siijui bro
 
Eric omondi hawezi maigizo Mzee , anaweza stand tuuu , the same to Joti stand miyeyusho Ila maigizo wengine wakasome
 
nilichojua ni kuwa anaipa promo baada ya kuichukua toka EATV na clouds kama media ya wasafi na si kama wameinunua kutoka kwa coy.. labda kama kuna story ingine siijui bro
Undani wake siujui mkuu. Ila anaitangaza kama moja ya coy tanzu zake.
 
Nakubali hila pia Ringo anajuaa sana
 
Idriss anauwezo sana anajua kinoma
 
Joti namba 3 kwangu,,namba 1 kingwendu haha daah tena awe na Senga +pembe...namba 2 Max
 
Idris Sultan!!! Huyu huyu Idris anakuchekesha, kweli kuna watu bandama zenu mwazitumia vibaya.
Huyu kijana anajaribu kuchekesha lakini wapi hana kipaji.....umaarufu tu ndio unambeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…