Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki


Huo utoto wa twitter unauleta huku?
 
Kunywa maji ukalale mkuu, uwezo wako wa kujenga na kutetea hoja ni sifuri. Badala uongoze mjadala kwa hoja umebaki kujibizana na watu nje ya mada, umebaki kusema Dj, mara ufipa. Hii katiba si ya CHADEMA wala CCM.
 
Narudia Tena joti hajazaliwa kimboka ila amezaliwa katikati ya miguu labda wewe ndio umezaliwa kimboka
Hiyo sio hoja, achana nayo. Mbona unaonyesha uwezo mdogo sana?
 
Joti unavyoigizaga Kama Mwanamke lazima Kuna Mwamba alishapita na wewe
 
Joti kawasaidia sana CHADEMA kupata agenda ya kuzungumza kwa mwezi huu.
 
Kwa yeyote anayenufaika na mfumo uliopo, ni vigumu kudai katiba mpya. Kwa sababu inagusa maslai binafsi.
 
Sometimes wazazi wanapata shida Kwa kusomesha watoto wajinga kama huyu lofa
Hajakosea,

ELIMU inahitajika.

MKULIMA kijinini pia ni ngumu kuelewa Jin's gan Katiba inachangia changamoto za pembejeo na mbolea .

Joti ajibiwe Kwa HOJA asitukanwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…