Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki

Joti kawachapa fimbo Moja tu, Twitter hakukaliki

Ujumbe mdogo TU wa joti umewatoa nyoka wote pangoni .nimewaona wanavyompopoa Huko twita ,huyo ni joti TU ccm ni dude kubwa sana, ufipa yote inapambana na joti . Sasa huyo ni joti vipi ccm wakiamua kufunga Busta nyie si mtajiua ,muanze kusingizia mmetekwa ?? Kwa Nini wapinzani hamtaki wenzenu wawe na uhuru wao wa kujieleza wakati nyinyi Kila siku mnapiga kelele kwamba mnataka uhuru wa kutoa maoni? Yale ni maoni yake mbona mnakuwa watoto kwa mambo madogo madogo? Bado mnajitafuta au mnadhani nchi nzima watakuwa na mtazamo kama wenu? Acheni upopoma joti popote ulipo tafadhali achilia kombola lingine tutakupngezea ulinzi,,!

Huo utoto wa twitter unauleta huku?
 
Katiba haiwezi kufanya chochote ikiwa nyinyi mnategemea katiba TU kazi mnayo !!! Fanyeni kazi wenzenu wanapiga kelele kuhusu katiba lakini mwisho wa mwezi wanapeana posho za kupayuka nyie mnashinda mnapayuka lakini wanaonufaika na makeleke yenu ni Mr dj
Kunywa maji ukalale mkuu, uwezo wako wa kujenga na kutetea hoja ni sifuri. Badala uongoze mjadala kwa hoja umebaki kujibizana na watu nje ya mada, umebaki kusema Dj, mara ufipa. Hii katiba si ya CHADEMA wala CCM.
 
Ujumbe mdogo tu wa Joti umewatoa nyoka wote pangoni. Nimewaona wanavyompopoa Huko twita, huyo ni Joti tu CCM ni dude kubwa sana, Ufipa yote inapambana na Joti.

Sasa huyo ni Joti vipi CCM wakiamua kufunga Busta nyie si mtajiua, muanze kusingizia mmetekwa? Kwanini wapinzani hamtaki wenzenu wawe na uhuru wao wa kujieleza wakati nyinyi Kila siku mnapiga kelele kwamba mnataka uhuru wa kutoa maoni?

Yale ni maoni yake mbona mnakuwa watoto kwa mambo madogo madogo? Bado mnajitafuta au mnadhani nchi nzima watakuwa na mtazamo kama wenu? Acheni upopoma Joti popote ulipo tafadhali achilia kombola lingine tutakupngezea ulinzi!

===
Alichokiandika Joti kwenye ukurasa wake wa Twitter

"Nataka siku nifanye skit ya kinyade sana jinsi katiba inaweza kushusha bei ya msosi n.k. ila nipeni ideas kwenda jotitvtz@gmail.com. Idea freshi ambayo nitaitumia nitaitaja hapa & Insta na nitamlipa aliyeitoa (Jiwe mbili safi). Iwe simpo mtu mwenye kichwa kizito kuelewa. Peji 1."
Joti unavyoigizaga Kama Mwanamke lazima Kuna Mwamba alishapita na wewe
 
Joti kawasaidia sana CHADEMA kupata agenda ya kuzungumza kwa mwezi huu.
 
FoHH77fXEAAHMqJ.jpeg
Joti ameamua kukimbia amevaa deraaaaaa msikitini[emoji38][emoji38][emoji38]View attachment 2505147

FoHH77fXEAAHMqJ.jpeg
 
..hoja ya Katiba Mpya haipaswi kujibiwa na comedians.

..hii sio hoja ya kujibiwa na Masanja Mkandamizaji, Joti, Steve Nyerere, au watu wa aina hiyo.

..Suala la Katiba Mpya lijibiwe na miamba ya sheria na katiba ndani ya Ccm kama Prof.Kabudi, Prof.Mwakyembe, Andrew Chenge, na wengine wa kaliba hiyo.
Kwa yeyote anayenufaika na mfumo uliopo, ni vigumu kudai katiba mpya. Kwa sababu inagusa maslai binafsi.
 
Sometimes wazazi wanapata shida Kwa kusomesha watoto wajinga kama huyu lofa
Hajakosea,

ELIMU inahitajika.

MKULIMA kijinini pia ni ngumu kuelewa Jin's gan Katiba inachangia changamoto za pembejeo na mbolea .

Joti ajibiwe Kwa HOJA asitukanwe.
 
Back
Top Bottom