Uchaguzi 2020 Joto la Kampeni leo limeshuka chini mno

Uchaguzi 2020 Joto la Kampeni leo limeshuka chini mno

mbenge

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2019
Posts
4,864
Reaction score
10,483
Ule msisimko wa kampeni nzima za uchaguzi kwa kinyang'anyiro cha nafasi nyeti ya ofisi ya Rais leo haukuwepo kabisa, si tu katika mitandao maarufu ya kijamii, bali pia kutoka katika vyombo makini vya habari hapa nchini. Hii yote ni kwa sababu yule Rais Mtarajiwa, "the game changer" hakuwa na ratiba ya kufanya kampeni.

Tumeona makada wote maarufu wa chama chakavu, wakijigawanya kimkakati nchi nzima ili kuweza kujaribu kupambana na hoja kinzani. Tunawashuhudia Jakaya, Pinda, Samia, Majaliwa na makada wengine wakihangaika na kuishiwa pumzi mapema huku hawajui nini kitakuwa hatima ya maisha yao ya kisiasa.

Wakati Tundu mwana wa Lissu, yupo bado "very compromised" katika hatua za awali za siasa za kimkakati za kanda. Amefanya tathimini ya yale yaliyojili huku akiwa anaongoza kwa 65% huku akimwacha kwa mbali mgombea wa CCM akiwa na 30%, huku vyama vingine vikiambulia 5% tu.

Kwa upande wa Zanzibar, upepo umetokea wa ghafla na nyeti za mtetea CCM zipo hadharani. Siri za JMT zimewekwa hadharani na koti la Tanganyika waliovishwa Wazanzibari limeoneka si lolote bali ni ukoloni kama ulivyo mwingine wowote ule.

Sasa, sasa (kwa mnukuu Rais Mtarajiwa), uchaguzi huu wa mwaka 2020 ni tofauti kabisa kuliko chaguzi nyingine zote zilizotangulia. CCM imebananishwa kote Tanzania Bara na Visiwani. Wapigakura wawachague viongozi wao kwa njia ya kidemokrasia, ukishindikana haki itatafutwa kwa nguvu za umma, kwa kujitokeza kupinga dhuluma barabarani.
 
Sawa

FB_IMG_1599666522455.jpg
 
Magufui kwenye ring asimami na mtu dk 10,amewskalisha mapema sana.
Come on now Binti Nakutafuna , we as CHADEMA have survived the past 20+ years under extreme oppression under every single president of this country. We know Voting Meko out will not change our condition. But again No President from the Green will change our condition to the better, therefore We must change the ruling system or suffer the consequences later.
 
Nimecheka kisha nikaona nisikujibu tu 64 kwa 30? Haya bhana ngoja niendelee kipiga faru john ili muda ufike wa kulala.
 
Come on now Binti Nakutafuna , we as CHADEMA have survived the past 20+ years under extreme oppression under every single president of this country. We know Voting Meko out will not change our condition. But again No President from the Green will change our condition to the better, therefore We must change the ruling system or suffer the consequences later.
Provetive nonsense gay.
 
ni kweli yupo compromised na chama chake ha ha ha...huu ndio ubaya wa kujifunza propaganda uzeeni.
 
CCM Mpya hawana sera wala hawaongelei sera wao ni full fiesta matamasha ya muziki, inaonekana CCM Mpya wanawafanyia mzaha waTanzania kwa kutozungumzia mustakabali wa Maendeleo ya Watu n.k mfano leo gumzo siyo sera bali vumbi lilivyotimka kwa ngoma za wasanii ktk kampeni za mgombea ubunge kupitia CCM ktk jimbo la Mbeya Mjini

September 9, 2020
Mbeya, Tanzania

Dr. Tulia : Avunja rekodi uwanja wa Ruanda Nzovwe Mbeya mjini, Tanzania

 
Full matamasha hakuna kinachojadiliwa kilichotekelezwa kikatimia na yajayo toka CCM Mpya
 
Sihitaji kukulala.

Over
Ok,nina jini langu nalifuga linaitwa makata,kesho asubuhi ukiamka jikague kwenye makalio,huwa sibishani kwa maneno bali nabishana kwa vitendo.
labda usilale leo ila ukipitiwa na isingizi tu umekwisha.
 
Back
Top Bottom