Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Unaichanganya na cooker au double kick au smart ginππ π ππTuendelee kunywa diffender au cyo
Mkuu,Noma sana. Mimi nlipokuwa natafta nyumba nikakuta hii nyumba ina ac na feni kila chumba na budget iko ndani ya budget nikafurahi ila sasa naona haya masuala ya umeme yanafanya matumizi yangu yaongezeke.
Mkuu mimi sijawahi tumia zaidi ya unit 3 toka nimeanza kuishi sema pia kipindi hicho sikuwa na familia kubwa.
Usisahau kuweka litmus paper wakati unaandaa huo mchanganyo wakoUnaichanganya na cooker au double kick au smart ginππ π ππ
ππππUsisahau kuweka litmus paper wakati unaandaa huo mchanganyo wako
hii si air cooler hii ? hii hapanaHali ya hewa imekuwa balaa, usipoangalia una~faint, mambo yakiwa magumu kabisa na uwezo wa ac huna, kuna hivi vitakusaidia walau kupunguza tatizoπ
haya matumizi labda awe anawasha ac kwa mwezi mara moja akiweka average apate hizo 6 units kwa siku.Kabisa kaka, mie akili inagoma kukubali hilo jambo.
Air cooler tu hiyo, kuna zile wanaweka maji then ina blow cold air.hii si air cooler hii ? hii hapana
hii uliyo post unaweka maji kwa chini kule,maji
Performance yake ikoje mkuuhii uliyo post unaweka maji kwa chini kule,
ili uenjoy maji yawe na barafu
ukiweka maji ya kawaida haina tofauti na feniPerformance yake ikoje mkuu
Hapo umetembelewa na demu wako wa chanika mnapigana miti jasho la kwenda, kunguni, mbu & jotoHuku kwetu vingunguti, nyumba ni fupi, joto kali ndani, bado mbu, kunguni,
#Mbu_kunguni_Joto!
Msione watu wamelala mchana mkasema wavivu ni kichapo cha usiku πππ
Una AC unaweka umeme wa elfu 10?Watu wa Dar mna maskhara sanaKukataa ni haki yako. Mimi naweka umeme wa 10000 ambazo kama si mwanzo wa mwezi ni unit 28, zinakaa siku 5 hadi 6 tu
Bora umewahi kumwambia mimi mwenyewe nilitaka kumkosoaHuwezi washa fan na AC ukatumia unit 6 kwa siku. Huna AC dogo. Acha mbwembwe.
Hahaha dogo ana utani sana huyuHuwezi washa fan na AC ukatumia unit 6 kwa siku. Huna AC dogo. Acha mbwembwe.
Acha uongo dogo, AC moja ndani ya saa kumi na mbili inakata vizuri kabisa unit kuanzia 50 hadi 80 wewe hizo AC umezitoa wapiVyumba vitatu AC tatu, sebulen feni tatu plus friji. Nyumba niliyotoka nilikuwa natumia unit 3 tu kwa siku.
Ukiamua kubisha bisha tu ni haki yako