Joto la sasa la Dar linaweza vunja rekodi

Hizo tips ni za wenye ukwasi.
Sie ambao ridhiki yetu ipo miguuni mwetu, hili jua tushalizoea .
Hakuna AC
Hakuna vimiminika
Hakuna msosi
Jua linakuchapa utosini
Jasho linakutiririka
Unatembea more than 100km per day.

Mungu ni mwema, anatulinda.
 
Binafc nilishangaa hiyo AC na fan kwa unit tano,natumia almost unit 4 kwa siku mataa ya nyumba fridge mbili na tv tu na kuchaji cm tu yani nilikua nafikiria kua na AC kama ingekua unatumia kiwango
Friji 2 unawasha masaa 24?
 
Huenda ni el nino effect, maana hali ya joto kipindi hiki si kawaida.........na ukichukulia zimenyesha mvua nyingi sana hapo kati, tulitarajia hali ya joto iwe chini sana...........ni muhimu watu waachane na vinywaji vyenye pombe maana pombe inakausha maji mwilini, pia wanywe maji kwa wingi mara kwa mara na wavae nguo nyepesi zisizobana mwili.
 
Hizo tips ni za wenye ukwasi.
Sie ambao ridhiki yetu ipo miguuni mwetu, hili jua tushalizoea .
Hakuna AC
Hakuna vimiminika
Hakuna msosi
Jua linakuchapa utosini
Jasho linakutiririka
Unatembea more than 100km per day.

Mungu ni mwema, anatulinda.
Jifunze kuvaa mawani ya jua asee
 
Poleni sana wakazi wa Dar ,sisi tupo porini huku baridi kama lote.
 
Hii ni kweli kabisa ukiweka AC vyumba 2 lazima utumie umeme wa 300,000 kw mwezi endapo zitawaka masaa 24
 
Duh!

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hili joto ni hatari mzee, nashinda bafuni kama chura, kila saa kwenye maji. Maajabu ya sasa ni kila nikitoka kuoga na jasho linatoka hapo hapo.
Ila hili joto linategemea na ww unakaa wapi.. kuna sehemu huku hakuna joto kabisa na ni Dar hii hii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…