Ndugu zangu kijani wanakutumia siku mbili tatu kazi ikiisha unapotezewa like hujawahi kuwepo.ALITELEKEZWA NA MUME SASA ATATELEKEZWA NA HAO WA KIJANI.TIME WILL TELL
Cc Wastara
Kiria hana tofaut na faizaMchaga. Wachaga wenzie naona wanatamani kulia wakiona kituko vyake
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Unamuongelea huyu wa chadema...(aliyekuwa)mumewe mpare wa Mwanga
Hiv mumewe wa chadema wamesharudianakwa uharakati anaoufanya! hayuko SMART
Chadema wamepoteza mke ndio maana Mwanahabari huru leo kuanzia asubuhi analia lia tu hapa jamvini!Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia. View attachment 758701
Naye ameposti mpasho wake mtafute Mwanahabari huru humu jamvini atakuambia!Hiv mumewe wa chadema wamesharudiana
Kikao cha dharura cha kamati kuu kitaitishwa kumjadili!Pigo lingine ndani ya kambi ya UFIPA
Unamaanisha wote wanaogeuka ni wanawaketu?Mungu alishajua akili ya mwanamke toka kitambo sana, ni rahisi sana kulaghaiwa yaani hadi nyoka anamdanganya, sishangai
Leo mtanukuu hadi vifungu vya Biblia. Hili ni pigo takatifu kwa ufipa.Mithali 7:28 b, mwanamume mmoja katika elfu nimemwona; bali mwanamke mmoja miongoni mwa wote mimi sikumwona.