Joyce Kiria Ageukia CCM

Joyce Kiria Ageukia CCM

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia.
IMG-20180428-WA0022.jpg
 
Baada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia. View attachment 758701
Chadema wamepoteza mke ndio maana Mwanahabari huru leo kuanzia asubuhi analia lia tu hapa jamvini!
 
Mithali 7:28 b, mwanamume mmoja katika elfu nimemwona; bali mwanamke mmoja miongoni mwa wote mimi sikumwona.
 
Back
Top Bottom