Anabadilika rangi kutokana na mazingira.[emoji23]Hivi huyu kiria mbona hajulikani rangi yakeView attachment 759025
Kwahiyo mwanaharakati bora awe chama kingine sio CCM?She didn't act smart here, kwa uanaharakati wake hapa kaharibu. May be anapata maslahi ya nguvu huko, otherwise anaharibu career yake.
Shauri yako.Jina lako tu shida mgonjwa mtambuka ..anapokewa nanani tujuzeni basi?
Chadema ndio haina wenyewe sio? Ha ha ha, muulize Zitto Kabwe....Ccm Ina Wenyewe na Wenyewe Wanafahamika...
Wapi Nimetaja Chadema Mzee!Acha Uzuzu,Acha Kukariri!Chadema ndio haina wenyewe sio? Ha ha ha, muulize Zitto Kabwe.
Wewe umetaja ccm na mimi nimetaja chadema, kuna ubaya gani hapo?Wapi Nimetaja Chadema Mzee!Acha Uzuzu,Acha Kukariri!
Usidharau wanawake mtoto mdogo!Mungu alishajua akili ya mwanamke toka kitambo sana, ni rahisi sana kulaghaiwa yaani hadi nyoka anamdanganya, sishangai
Very Stupid!Wewe umetaja ccm na mimi nimetaja chadema, kuna ubaya gani hapo?
Ngoma drawWewe umetaja ccm na mimi nimetaja chadema, kuna ubaya gani hapo?
What a cloddish reaction, ha ha ha.Very Stupid!
Haya ni madharau.....hawakupenda kuwa hivyoYai viza ni viza tu....
House girl atabaki hause gel hata aolewe na waziri...
Hakuna dharau hapo hiyo ni fact.Haya ni madharau.....hawakupenda kuwa hivyo
Mwenzake yule kaahidiwa nyumba haitovunjwa sasa yeye kahidiwa nini au kurudiana na mzee [emoji1] [emoji1]hahahaha hii ndio.demokrasia yenyewe msinune wala kumtukana..
Sanaakapendeza.....
alikuwa na cheo gani huko?Pigo lingine ndani ya kambi ya UFIPA
Mkuu,nimeupenda sana huu mstari!Mungu haweki maagano na masikini,masikini haeleweki ni mtu wa kubadilika badilika - Mchungaji Maboya.
She didn't act smart here, kwa uanaharakati wake hapa kaharibu. May be anapata maslahi ya nguvu huko, otherwise anaharibu career yake.