Joyce Kiria Ageukia CCM

Joyce Kiria Ageukia CCM

Kila La Kheri Kwake!Ccm Ina Wenyewe na Wenyewe Wanafahamika Ila Lazima Wapambe Kama Hawa Wakawatumikie Wenye Ccm Yao
 
She didn't act smart here, kwa uanaharakati wake hapa kaharibu. May be anapata maslahi ya nguvu huko, otherwise anaharibu career yake.
Kwahiyo mwanaharakati bora awe chama kingine sio CCM?


Huyu ni mganga njaa sio mwanaharakati
 
Mungu alishajua akili ya mwanamke toka kitambo sana, ni rahisi sana kulaghaiwa yaani hadi nyoka anamdanganya, sishangai
Usidharau wanawake mtoto mdogo!
Hao ndiyo waliokuleta duniani na kukulea mpaka hapo ulipofika!
Epuka LAANA!
 
Kumbe kuna Talaka zenye mlengo wa kisiasa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom