Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu,nimeupenda sana huu mstari!
Njaa ni mbaya hasa ikimpanda mtu kichwani.Njaa mbaya sana
Sura mpya miguu ya zamani.Hivi huyu kiria mbona hajulikani rangi yakeView attachment 759025
Hivi alikuwa house girl akampindua mama mwenye nyumba?HOUSE GIRLS WOTE HUWA HAWANA MSIMAMO.
HaswaaALITELEKEZWA NA MUME SASA ATATELEKEZWA NA HAO WA KIJANI.TIME WILL TELL
Cc Wastara
utashangaaje wakati mamako tu ni CcmMungu alishajua akili ya mwanamke toka kitambo sana, ni rahisi sana kulaghaiwa yaani hadi nyoka anamdanganya, sishangai
Huyo ni mwananke siyo nke!Chadema wamepoteza mke ndio maana Mwanahabari huru leo kuanzia asubuhi analia lia tu hapa jamvini!
Joyce Kiria mpe BASHITE watotoBaada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia. View attachment 758701
Alikua anaforce jamaa amjibu ili apate kiki ya kupiga pesa za CCM ila jamaa kamkazia kasababisha dada wa watu amegeuka kituko.Alivyoanza vijembe tu ilikuwa wazi huko ndiko atakapohamia....
But bila kujali chama huyu mwanamke anahitaji msaada.
Ana KICHAA CHA NDOA grade ya kwanza...
Education and exposure ni muhimu sanaBaada ya drama zote na mumewe na kuonekana ofisini kwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam akidai kutelekezwa hatimaye kaamua kuhama na chama kabisa.
Hiyo ni post yake siku ya leo akifurahia kubadili gia. View attachment 758701