Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuondokewa na chizi nalo ni pigo kumbe,haya nzi wa kijani mmezoea vilivyopo chooniPigo lingine ndani ya kambi ya UFIPA
Nyie mbona waliopigania Chama mnawatosa mnawapa mamluki na masalia ya CCM? Kama mnalalamika kuwa CCM ni wabovu kwa nini mnasubirishiaga chaguzi zenu mpaka Mgambo (i.e. CCM) waruke na kukanyagana kwenye chaguzi zao na nyie ndio mnapata mabaki.Ndugu zangu kijani wanakutumia siku mbili tatu kazi ikiisha unapotezewa like hujawahi kuwepo.
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Kwani huyu mama alikuwa na cheo gani Chadema?Leo mtanukuu hadi vifungu vya Biblia. Hili ni pigo takatifu kwa ufipa.
Muulize Mbowe.Kwani huyu mama alikuwa na cheo gani Chadema?
Hapa Mbowe anazungumzia chohote kuhusu huyu mwanamke najiuliza mtu aliyezungumzia kuhusu huyu mwanamke ndiyo anajua cheo chakeMuulize Mbowe.
Mbona unamwogopa Mbowe. Nenda tu kamuulize; si ndio mwenyekiti cha chadema, au?Hapa Mbowe anazungumzia chohote kuhusu huyu mwanamke najiuliza mtu aliyezungumzia kuhusu huyu mwanamke ndiyo anajua cheo chake
Mwanaume kosea vyote sio kuoa,ndio mana zamani wazazi walikua wanataka mtoto wao aoe karibu ili kujua vizuri familia ya upande wa pili.That’s true, kileo aliona mwenzie kafatwa na matarumbeta kulazimishwa atoe talaka, akaingia kichwa kichwa. Ila bora kaachana na huu mkosi japo kwa kudhalilishwa Nchi nzima
Pigo lingine ndani ya kambi ya UFIPA
Huo mguno wa Malisa nimeuisikia mpaka hapaBibi amekua kichaa huyuView attachment 760219