Joyce Kiria alalamika hadharani kunyimwa "Dyudyu"

Sasa huyo J.Kiria ana afadhali kimaadili mara 10 ya Mangi Kimambi ambaye kawashikia akili Viongozi wako wote wa chadema!
Sio kila mjinga ni mjinga kweli,sometimes hujifanya mjinga ili wewe uonekane mjinga zaidi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mnakosea mnaompa coverage...!!!
===
Ukweli anawaabisha ndugu zake pamoja na wazazi wake. Jamani kuweni makini mchaguapo wenza wenu wa maisha ya milele.
 
Sio kila mjinga ni mjinga kweli,sometimes hujifanya mjinga ili wewe uonekane mjinga zaidi.[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kati na Mangi Kimambi na J.Kiria yupi aliyedata zaidi? J.Kiria kwa Mangi Kimambi ni cha mtoto, lkn ndo anayeongoza sera za chadema sasa hivi hata Mashinji kafunga safari ktk TZ kwenda USA kumfwata kuomba ushauri, ...
 
Mashinji alikuja kwako ukamkatia tiketi?au kila mwenye safari ya USA ambaye ni chadema anaenda kwa Kimambi?uo ndio huitwa hushakuneka,unaanza nipa wasiwasi wa jinsia yako,au wewe bado ni mvulana maana wavulana wanaakili fupi kama zako
 
Ndo hivyo Chama kishakabidhiwa Mangi Kimambi wee endelea kutoa michango ya ujenzi wa chadema, Mangi Kimambi anatumia kununulia chupi mpya!
 
Ndo hivyo Chama kishakabidhiwa Mangi Kimambi wee endelea kutoa michango ya ujenzi wa chadema, Mangi Kimambi anatumia kununulia chupi mpya!
Asante muwekaazina wa chadema kwa kutupa mlejesho wa mapato na matumizi ya chama,Acha kukariri sio kila anaepinga ni chadema
 
huvi dada yetu kimambi hajamuona huyu anayembwelambwela kweupeee na akigusa tu tutajua mengiii huyu naona kamis dudu bila chenga na mjin dar kwenyewe kila leo madume yanakimbia majike ingekuwa mikoani ahaa ingekuwa ndembendembe dudu kila leo asingeongelea kamiss dudu
 
Uwana harakati utampa dyudyu,
 
Wahenga walisema "heri ukosee kujenga kuliko kukosea kuoa",
Pole Kamanda Kileo
kuowa kaowa sahihi sema mwanamke kuvumilia hajui ndio tatizo but joyce ni wife materiol kabisa coz huyu demu alimbeba sana mchizi alipokuwa anayumba kiuchumi
 
kuowa kaowa sahihi sema mwanamke kuvumilia hajui ndio tatizo but joyce ni wife materiol kabisa coz huyu demu alimbeba sana mchizi alipokuwa anayumba kiuchumi
Amembeba wapi wakati ndio anamtangazia mabaya mwenzie?
 
Hapo Mangi Kimambi hagusi utakuwa ni moto kwa moto!
 
Kimekwisha kabisa sahizi ngoja kiende huko ccm wakakitoe marinda

I have a dream.
 
Huyu manzi ana genye za mwendokasi mpaka mitandaoni loooh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…