Joyce Kiria ana ujumbe kwa haters wake, baada ya kupondwa kuweka hadharani mambo ya familia

Ulitegemea tukushangilie na tarumbeta kwamba umetoa siri za chumbani, Kamekonda week tu kumbe mmeo ana umuhimu anaonekana ana stress sana anajikaza tu vinywele vyekundu kama shamba la mpunga ndio mkome vibibi kutaka kuolewa na watoto mnaishia kulia hovyo mitandaoni ushamba wakati wa kwenda tu.
 
Mara paap, unamsikia mkeo mkeo Anadai huyu Ndio role model wake[emoji274]

Hivi waajiri wake wanaruhusu mfanyakazi wao tena muelimisha jamii atukane Hivi halafu bado Anaendelea na kipindi cha harakati?
 
Kilewo yupi tena kelele zote za Joyce Kiria ni baada ya kujua Kileo sio wake tena ameshamove one siku nyingi nadhani amesema mwaka mpya na mambo mapya. pole Joyce
Jana kwenye taarifa ya habari nimemuangalia kilewo kidole cha pete imebaki alama tu sijui kasha iuza kwa sonara kanywea bia [emoji23][emoji23] mdomo ulimponza kichwa atulie atapata kibenten chakuki lea.
 
Duh yaani jinsi Kilewo alvyokuwa decent ndio kaangukia kwa mwanamkewa namna hii?? Laiti ingekua siwafahamu....
Last weekend nilikua na Kilewo pale Desert Hotel, Area D - Dodoma.... Jamaa amebamba mtoto mkareeeee zaidi ya Beki tatu muuza sura....
Ila Kilewo ni chapombe kuliko mimi aiseeeee......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
..........hii mitandao walioianzisha kama wangekuwa na akili kama za sisi tulioipokea bila kujua maana yake basi wangekuwa wameshaachana nayo muda mrefu sana.sasa ujinga huu kutuma tuma picha sura yenyewe uso umekaa kama anataka kupiga chafya ndio nini!
 
Stress zitamuua huyu Dada. Anazidi kujiaibisha. Dah!
 
Huyu watu wangemshiti aendelee kujishebedua hivyo hivyo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…