Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Theluthi moja tu ya Wanawake wangekuwa wanalitambua hili kama wewe basi ndoa nyingi sana zingebakia salama. Wewe una akili sana.Sisi nyumbu tunajuwa kukalia chupi zetu, hakuna anaejua rangi yake. Mambo ya ndani ni chupi yako haitakiwi mtu aione zaidi ya mumeo.
MWANAMKE KALIA CHUPI YAKO
Kumbe wewe ndo unajiita Elli humu JF!!?Alishawahi kukuweka kinyumba nini?? Au kufahamiana kwa jukwaani??
Kwani Joyce ni MGOSI?Mgosi sioni sababu ya kunitusi, huenda nikawa na umri Kama Mzazi wako, hukutumia busara. Namjua kwakua ni kiongozi wangu wa Chadema lakini pia nimefanya nae biashara. Nisingependa nikutukane ila nakustahi.
Siku zote jibu la mjinga ni kukaa kimya tuIla nilichofurahi zaidi ni Kilewo kuamua kukaa kimya, kaonyesha hekima ya hali ya juu sana, nafikiri huyu mbeijing alianzisha hii movement akitegemea majibizano na league kutoka kwa mmewe matokeo yake imekuwa tofauti kabisa ndio maana mnaona anazidi kuchanganyikiwa siku hadi siku.
Joyce Kiria aibuka tena na issue ya mumewe lakini awamu hii amewachana wanaombeza.
Instagram:
joycekiriasuperwoman: Watu wangu Nifunzeni jinsi ya kusonya na kunyali nyumbu wote waliotoka povuuuu na wanaoendelea maana wanawashwaaaaaa Wajinga wengi mnooooo
wapi nimesema Kiria ni Mgosi??Kwani Joyce ni MGOSI?
Huyu kapata anaemkazia fresh ndio sababu ya yote haya ktk familia.Huu ugonjwa unaitwa "Kichaa cha ndoa". Ni ugonjwa hatari sana wa akili. Huwaathiri zaidi wanawake kuliko wanaume.
Mwanamke akishapata huu ugonjwa; Asilimia 75 hesabu hapo hakuna ndoa tena, wala hakuna matibabu. Wachache sana huwa wanabahatika kupata matibabu sahihi na kupona kabisa huu ugonjwa.
wewe unafaa kuwa mke wa nani?? kila binadamu anamapungufu usijaji sana kanakwamba wewe uko sahihi sana,mambo ya kifamilia kwelii kakosea kuanika mambo hadharani lakini usiseme amekosea,kesho ukikuta wanakumbatiana na kuzalishana watoto wengine nani atabaki mdomo wazi wewe au yeye??
Huyu bidada kaamua kuvaa BIKINI tu safari hii.Sisi nyumbu tunajuwa kukalia chupi zetu, hakuna anaejua rangi yake. Mambo ya ndani ni chupi yako haitakiwi mtu aione zaidi ya mumeo.
MWANAMKE KALIA CHUPI YAKO
amejichokea huyu mwanamke ile mbayaJoyce Kiria aibuka tena na issue ya mumewe lakini awamu hii amewachana wanaombeza.
Instagram:
joycekiriasuperwoman: Watu wangu Nifunzeni jinsi ya kusonya na kunyali nyumbu wote waliotoka povuuuu na wanaoendelea maana wanawashwaaaaaa Wajinga wengi mnooooo