Joyce Kiria ana ujumbe kwa haters wake, baada ya kupondwa kuweka hadharani mambo ya familia

Aisee katika maisha kukaa kimya ni silaa kubwa sana. Jamaa yangu aliletewa mapicha picha kama haya akaamua kukaa kimya mwanamke akajiona fala then akasepa zake.
 
Cjui Kileo aliokota wapi hii takataka. Wanaume tuwe tunaangaliaga sana....
 
If marriage is a hand of man, then this woman is its middle finger. A very stupid woman in her category, who cant even help herself.
Ouch! That is cruel.

Lady needs HELP.
 
Akapimwe kwanza mbona macho kama anatumia majani au unga wa sembe
 
wa Kwenye avatar yangu ni m black beauty wa nguvu. Hafananii kabisa na Bi Joy

We hujui kuwa watu wanaweza kuua kumpata black beauty?

Tukiwaweka wawili nyie halafu watu wapige foleni kwa wampendae utashangaa foleni ya bibie kwenye avatar yako itakavyofurika wanaume rijari, wazungu kwa wanugu, vijana kwa wazee.

Keep your head up lady, you are more beautiful than you rate yourself.

Chezea black beauty wewe.
 

Hahaaa... NIlishajitambua kitambo tu. My skin complexion ni asset yangu kubwa sana kama mwanamke. Napendeza hata bila kupaka mafuta.
 
Hapo anaonekana ametoka kulia weeeee
Halafu anajutia maana inaelekea alichotegemea mumewe atafanya hajafanya.. hivyo kaumia kwa kujibwatua mitandaoni na yake ya ndani.. na sasa hawezi kuyarudisha.. hiyo ya kusema watu na comments anatafuta tu kiki na kutolea hasira kwa kuwezwa na mumewe kukaa kimya.

Ni anajuta na kujuta na anaumia ndani kwa ndani.. hayuko sawa.. alifikiri atatamba na kufanyiea sherehe au kupata mume mpya ila ndio pwaaaaaaaaaaaa
 
Nilizan ni mimi tu ndiye niliyechemka kuoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…