usatrumpjr
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 2,237
- 2,898
Acha zako, hatuna wapare wapuuzi mkuu! Kilewo ni mchagaCorrection: Joyce si mchaga ni mpare.
ukikutana na jini mtu kama hili la Mr. Kisasa ni hatari kwa afya ya rohoKwa hii mineno kamanda tena naona kawa mgambo,yaani kamanda ni Marioo .Alafu hii style ya kuleta mambo ya familia kwenye mitandao ya jamii, nyie wanawake kawafundisha nani?,ila naona bado kuna umuhimu wa unyago japokuwa baadhi ya watu wanaona kama upuuzi,lkn baadhi ya wanawake hawajielewi.
Umenifurahisha mno mkuu...all in all, bado inabaki ni mapungufu ya mhusika tu. Kwa sababu kuna wanawake wengi ni wanaharakati lakini wanajua harakati zianzie na kuishia wapi...!Hili ndio tatizo la kuoa wanawake wenye itikadi za kiuwana harakati. Harakati anazianzishia humo humo ndani ya ndoa. Anataka kukufanya mwanaume uwe mfano wa harakati zake.
May be yapo anayoyajua.Unampenda vipi Kwa mfano MTU kama Joyce?
ExactlySio tamaa ya hela tu, Joy ni narcissist! Ni aina ya wanawake ambao wako verry controlling,,,anaumia kwa sababu ame loose nyororo ya kumburuta mchizi huku na kule!
Duuh, ni shida mno...!Nilikuwa na mwanamke wa aina hii. Yaani anataka attention kila wakati. Hajui kama upo busy anataka umuwaze yeye tu. Halafu wapo vizuri kwenye speculations. Ukiwa busy atasema kuna mwanamke mwingine ndio upo busy nae. Yaani ni kichomi haswa
Mange Kimambi umemsahau teh au yeye sio popularAcha zako, hatuna wapare wapuuzi mkuu! Kilewo ni mchaga
Wapare popular ni hawa: Vanessa Mdee, Joh Makini, Nikki wa Pilli, MIMI Mars, Jeff wa Speshoz, Ngozi TZ, Mr, Beneficial, Mmiliki Ki2ko clothing line, Halima Mdee and the list goes on,
Kweli ni ngumu lakini angekaa kimya. Kwani wanaume wameisha jamani? Si amesema Kileo ni mariooo hatunzi familia sasa anamtaka wa nini? Anadhani atabadilika?"Its hard to see the person you love happy with someone else" ukiielewa hii ndo utajua uchungu anaupitia huyo kilaza ha ha ha ha hivi ni nini kinawafanyaga watu kuona mtu hawezi kupendwa tena kwa sababu we unamchukia? Unamfanyia mtu unaempenda vimbwanga akipata mtu wa kum comfort huko nje unarudi mbio mbio na kujiliza liza mrudiane!
Bado anampenda mumewe,na amekosa kampani yake ndio maana anatoa maneno ya kuchanganyikiwa;ni kawaida kwa mtu yeyote kuwa hivi kwa mtu anayempenda.
Harafu usikute kosa lilikuwa lake huyo mwanamkeKweli ni ngumu lakini angekaa kimya. Kwani wanaume wameisha jamani? Si amesema Kileo ni mariooo hatunzi familia sasa anamtaka wa nini? Anadhani atabadilika?
Yaani mie ningepiga kimya nikauguza maumivu yangu ndani kwa ndani nikijua ipo siku nitakuwa sawa na nitaendelea bila huyo mwanaume.
Yule ni kichaa ndio maana hata nimemsahauMange Kimambi umemsahau teh au yeye sio popular
Harafu usikute kosa lilikuwa lake huyo mwanamke
Hahaha ndipo tunapotofautiana binaadamu hapo!Kweli ni ngumu lakini angekaa kimya. Kwani wanaume wameisha jamani? Si amesema Kileo ni mariooo hatunzi familia sasa anamtaka wa nini? Anadhani atabadilika?
Yaani mie ningepiga kimya nikauguza maumivu yangu ndani kwa ndani nikijua ipo siku nitakuwa sawa na nitaendelea bila huyo mwanaume.