Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Yes dear....halafu unaambiwa Moza ana heshima na adabu, mzuri, na ana hela!
Hao ndio mademu wa kuwa nao aisee, sio hawa kajamba nani mtu alikusaidia nauli ya kwenda interview ukapata kazi ndio inakuwa point ya kukusimangia hio, kila mkipishana kidogo eti kisa una kazi sahivi!!! Shenzee,
 
hawafai hao mkuu! Ukimkazia wapo wanaobadilika ila kama mtu wa kulalamika sana na hana kifua unabwaga manyanga
Nilishindwa nikabwaga manyanga. Hadi sasa hivi bado analalamika kama huyo Joyce eti nimemwaribia maisha.
 
Achana nae kazi kali zipo nyingi mbona tena zinazojiamini,mkwanja upo no njaa na adabu ni A1 hamna kusumbuana yani!
 
Wanawake wananifurahisha hii dhana yao ya kwamba Mume wao anafundishwa tabia mbaya hawajui wao ndio huwa wanatubadilisha.
Nina Shemeji yangu ananichukia kwa kudhani kila mume wake akichelewa kurudi anakua na mimi viwanja so ninamfundisha uhuni wakati angejua ukweli alitakiwa anihurumie mimi kwa kuwa na rafiki bazazi
 
Nafikiri wakati anamzingua Kilewo alidhani bado analipa kwamba atafanya kama alivyomfanyia Nelly. Sasa hivi amegundua kumbe yupo saa 12:59 jioni ndo anaanza kujiliza liza mitandaoni. Kwa statements zake zile za mwanzo wakati anamkandia kilewo mitandaoni sikufikiri anaweza kuja na uzi kama huu tena. Ajitahidi aendelee na maisha aliyochagua.

Ila Kilewo sio vibaya ukimsamehe kama akikuomba msamaha muendeleze familia yenu hakuna mkamilifu hapa duniani.
 
Moza ni mrembo na katulia lazima joy awehuke tu hamna namna. Hafu ukimya wa kileo una muumiza
Ntumie japo picha ya huyo Moza mamii,nimefurahi kuona kilaza Kiria anasomeshwa namba, nilimchukia toka alipoanza biashara ya u super woman wa kumdhalilisha kamanda mitandaoni! Thats not a wifey behaviour kabisa, she a moron!
 
Nafikiri wakati anamzingua Kilewo alidhani bado analipa kwamba atafanya kama alivyomfanyia Nelly. Sasa hivi amegundua kumbe yupo saa 12:59 jioni ndo anaanza kujiliza liza mitandaoni. Kwa statements zake zile za mwanzo wakati anamkandia kilewo mitandaoni sikufikiri anaweza kuja na uzi kama huu tena. Ajitahidi aendelee na maisha aliyochagua.

Ila Kilewo sio vibaya ukimsamehe kama akikuomba msamaha muendeleze familia yenu hakuna mkamilifu hapa duniani.
Waendeleze kupasha kiporo sio mahusiano tena, kuishi na mwanamke mshenzi kama Kiria ni kujitaftia kufa before 50!
 
Wanawake wananifurahisha hii dhana yao ya kwamba Mume wao anafundishwa tabia mbaya hawajui wao ndio huwa wanatubadilisha.
Nina Shemeji yangu ananichukia kwa kudhani kila mume wake akichelewa kurudi anakua na mimi viwanja so ninamfundisha uhuni wakati angejua ukweli alitakiwa anihurumie mimi kwa kuwa na rafiki bazazi
Hahaha
 
Halafu bado anakomaa umtimizie na mahitaji yake huku anakukazia usipambane kutafuta mkwanja
Wanastaajabisha sana yani, hawafanyagi cause-effect analysis! Anaona hatua mbili mbele tu
 
Back
Top Bottom