Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Kumbe moza ally mushi kweli wajenge famila huyo naye aendelee kuvunja ndoa za watanzania na wanawake live kwenye tv
 
Tatizo nyumba moja CCM na CHADEMA,,,,,,,,,,,,, au Biashara na siasa
 
Mwanaume akikuchoka yaani hata ulie kilio cha namna gani ni kazi bure. Kinachonishangaza sio malalamiko yake lkn why kuanika kila kitu mtandaoni? Juzi Kileo kanunulia watoto viatu eti anatoa asante mtandaoni. Huyu dada hana akili..mara mia Giggy Money
Hii ni dhahiri bado anampenda mumewe,lakini hajui njia sahihi ya kuwa nae tena.
Kuna kale kausemi "mwanamke mpumbavu,huharibu ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe..."
 
Eeeeeh
Mpenzi wake mpya..

Kafanya Joyce akumbuke aliolewa.. huyo demu atakuwa kamzidi kwa mengi.. ingekuwa demu wa ovyo ovyo hana mbele wala nyuma isingemuuma hivi..

Anaisoma namba.. lazima analia tu.. eti kisa gari analoendesha baba watoto..

Huyo mwanamke anatamaa mbaya ya pesa [emoji16]
Exactly
 
Msongo anajitakia mwenyewe maana wadau wanamchamba vibaya mno.
Anashindwa nini kumove on aendelee na maisha yake? Kama kweli anampenda Kileo angekaa kimya wakasolve mambo yao kimya kimya.
Na hata kama Kileo anataka kurudi kwa mke wake sidhani kama ataweza tena maana kila kitu chake kipo exposed, hakuna mwanaume anayevumilia huo ujinga.
That's maturity... Hongera kwa kuyaona haya yote.
 
Kazidi mno huyo Joyce Kuwa na kipato hakukufanyi uwe kidume Baba watoto ananunua chakula viatu na hela anakupa then waenda mtangaza mtandaoni ka si dharau za ajabu nini. Acha anyooshwe kaharibu family yake
Umeonaeeeee
 
Huyu mwanamke na yule wa Sugu akili zao ni copy za wanawake wa kichagga,alimwacha jamaa kwa matusi makubwa sana sasa hivi anajiliza kama mtoto mchanga
Halafu kwanini wanawake wa kichagga huwa wanazingua sana?
HAHAHAHAHA mkuu umenichekesh sana, shida haiko kwa wachaga tu bali ni wanawake wenye kaliba ya ujuaji na ushamba toka kichwani af hawana lolote, yakiwashinda huwa wanabwata hovyo, huyo mavuzi alitegemea mda wote waliotengana KAMANDA alikuwa anapiga nyeto nini! Hapo ndio akili ya mwanamke inapodhihirisha ubovu wake, yani we tumetibuana kisha nikapata mtu mwengine wa kuniliwaza ukaamua kuomba msamaha tuyajenge,,tunarudiana halafu unaanza kunilaumu tena eti nimekusaliti ha ha ha ha huyu kiria ni faraaa!!!

Joyce na Faiza inabidi waingie kwenye TzWomen book of wonders, wana vituko endlessly!
 
Wivu wa nini hata kama angeongwa magari mia!!!

Kumuacha amuache yeye.. kumchafua mitandaoni amchafue yeye kujionyesha gangwe.. now ana mwanamke anampa raha anamuita mario aiseee nicheke tu..😀

Hata kama pesa anaitamani basi..
Ajue kunyamazia mengine shaaaaa
hahahah mwambieni mwenzenu aache utoto huyo,,,
 
Back
Top Bottom