Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Kwa Kilewo kashindwa asee.....na asipojirudi atapata kichaa soon!

Moza ni kisu balaa halafu ana mkwanja, na anamkubali jamaa kusalimia tu anapiga goti , mtoto heshima debe,sasa jamaa ataanzaje kurudi kwa Joy kimfano yaani?
Hebu picha ya moza niione namimi nikamfanyie mapinduzi huyo kamanda kwanjnj amtese mwenzake hivyo
 
Akili itamwingia tu. Unamuita mumeo Mario?
 
Yaani mumewe kuchepuka na mmoja tu analalamika dunia nzima kwa page ndefu ya lawama. Ingekuwa ni ile enzi ya mitume waliokuwa na wake zaidi ya 10 huyu angejiua. Wanawake wabinafsi sana. Unataka uwe peke yako kwani wewe ni mama yake mzazi.
Si walishaachana sasa nini ngojera tena au ni sitaki nataka? Halafu mapenzi ya kwenye mitandao ndio mapenzi gani? Mbona simwonagi Kilewo akiweka mambo mitandaoni na huyu mama akimwandika mitandaoni huwa hamjibu. Hata ningekuwa Kilewo siwezi kukuvumilia mwanamke wa kutangaza mambo ya nyumbani mitandaoni. Huyu mama alilelewa wapi. Nijuavyo mwanamke hata ukichapwa ukawa unalia mtu akipiga hodi unafuta machozi na kufanya kama hakuna lililotokea.
Mimi namshauri Kilewo ampuuzie na kutafuta maisha yake. Wanawake ni wengi na hawana waume wa kuwaoa, aachane na nunga embe ilo apate kimwana. Bado mdogo
 
Roho inamuuma kuona jamaa hajali na maisha yake yanaendelea bila shida. Ila kwake mwanamke anabaki kupunguza maumivu kwa kulialia mitandaoni.
 
Kumbukumbu ilinipotea. Kumbe ndiyo yule Kamanda? Ila ni Mrembo. Joyce ana kila sababu ya kuwehuka hapo.
Dada mrembo na anajielewa sasa kwanini kamanda asitulie juzi kileo alimtafta Joyce wamalize tofauti saa ngapi asi post mtandaoni na maneno kibao. Joyce ndo mchawi ya ndoa yake too much kuanika mambo ya ndoa hadharani
 
Ni kamanda ndio alikuwa aliwa na mwenyekiti kabla ya Kilewo kupewa pasi baada ya kunyimwa unyumba na Kiria
Hahaaaaa kwahyo wanapasishiana ndo mana kiria analalamika jinsi huko Kuna ufuska
 
Nakuambiaje.... Joyce angekuwa hajaanika mambo ya ndoa yake hadhani Kileo siku nyingi ngekuwa amesharudi mbona. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai. Shida ni kwanza huyo Demu akili sifuri kila jambo lazima alilete mitandaoni. Hakuna Mwanaume mwenye akili timamu anaweza kuvumilia hilo.
Dada mrembo na anajielewa sasa kwanini kamanda asitulie juzi kileo alimtafta Joyce wamalize tofauti saa ngapi asi post mtandaoni na maneno kibao. Joyce ndo mchawi ya ndoa yake too much kuanika mambo ya ndoa hadharani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…