Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 9,980
- 34,404
Moza yupi huyo Witty?Mi namuona kama kachanganyikiwa vile mwanaume anamrusha roho[emoji26]
Na huyo Moza mambo yake super sijui kama kilewo atabanduka leo or kesho!
Poor Joy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Moza yupi huyo Witty?Mi namuona kama kachanganyikiwa vile mwanaume anamrusha roho[emoji26]
Na huyo Moza mambo yake super sijui kama kilewo atabanduka leo or kesho!
Poor Joy
Hebu picha ya moza niione namimi nikamfanyie mapinduzi huyo kamanda kwanjnj amtese mwenzake hivyoKwa Kilewo kashindwa asee.....na asipojirudi atapata kichaa soon!
Moza ni kisu balaa halafu ana mkwanja, na anamkubali jamaa kusalimia tu anapiga goti , mtoto heshima debe,sasa jamaa ataanzaje kurudi kwa Joy kimfano yaani?
Hahahahaaaaa 😛😛😛😛
Joyce kashindikana tu huyoIla kuna mengi nyuma ya pazia na hatujui
Si walishaachana sasa nini ngojera tena au ni sitaki nataka? Halafu mapenzi ya kwenye mitandao ndio mapenzi gani? Mbona simwonagi Kilewo akiweka mambo mitandaoni na huyu mama akimwandika mitandaoni huwa hamjibu. Hata ningekuwa Kilewo siwezi kukuvumilia mwanamke wa kutangaza mambo ya nyumbani mitandaoni. Huyu mama alilelewa wapi. Nijuavyo mwanamke hata ukichapwa ukawa unalia mtu akipiga hodi unafuta machozi na kufanya kama hakuna lililotokea.Yaani mumewe kuchepuka na mmoja tu analalamika dunia nzima kwa page ndefu ya lawama. Ingekuwa ni ile enzi ya mitume waliokuwa na wake zaidi ya 10 huyu angejiua. Wanawake wabinafsi sana. Unataka uwe peke yako kwani wewe ni mama yake mzazi.
Moza huyo pictures from her ig pageHebu picha ya moza niione namimi nikamfanyie mapinduzi huyo kamanda kwanjnj amtese mwenzake hivyo
Moza kamanda wa CDMMoza yupi huyo Witty?
Roho inamuuma kuona jamaa hajali na maisha yake yanaendelea bila shida. Ila kwake mwanamke anabaki kupunguza maumivu kwa kulialia mitandaoni.Si walishaachana sasa nini ngojera tena au ni sitaki nataka? Halafu mapenzi ya kwenye mitandao ndio mapenzi gani? Mbona simwonagi Kilewo akiweka mambo mitandaoni na huyu mama akimwandika mitandaoni huwa hamjibu. Hata ningekuwa Kilewo siwezi kukuvumilia mwanamke wa kutangaza mambo ya nyumbani mitandaoni. Huyu mama alilelewa wapi. Nijuavyo mwanamke hata ukichapwa ukawa unalia mtu akipiga hodi unafuta machozi na kufanya kama hakuna lililotokea.
Mimi namshauri Kilewo ampuuzie na kutafuta maisha yake. Wanawake ni wengi na hawana waume wa kuwaoa, aachane na nunga embe ilo apate kimwana. Bado mdogo
Hahaaaaa umeua aiseeHuyu kilewo nae fala tu,anahangaika nn na janamke lenyewe halina tako, limezeeka usoni, mwili mgum kama maksai af lina dharau
Kumbukumbu ilinipotea. Kumbe ndiyo yule Kamanda? Ila ni Mrembo. Joyce ana kila sababu ya kuwehuka hapo.Moza kamanda wa CDM
Ni kamanda ndio alikuwa aliwa na mwenyekiti kabla ya Kilewo kupewa pasi baada ya kunyimwa unyumba na KiriaMoza kamanda wa CDM
Dada mrembo na anajielewa sasa kwanini kamanda asitulie juzi kileo alimtafta Joyce wamalize tofauti saa ngapi asi post mtandaoni na maneno kibao. Joyce ndo mchawi ya ndoa yake too much kuanika mambo ya ndoa hadharaniKumbukumbu ilinipotea. Kumbe ndiyo yule Kamanda? Ila ni Mrembo. Joyce ana kila sababu ya kuwehuka hapo.
Hahaaaaa kwahyo wanapasishiana ndo mana kiria analalamika jinsi huko Kuna ufuskaNi kamanda ndio alikuwa aliwa na mwenyekiti kabla ya Kilewo kupewa pasi baada ya kunyimwa unyumba na Kiria
Narudi Tanzania na Mimi si kwa huo uremboMoza huyo pictures from her ig pageView attachment 927253View attachment 927254
Nakuomba tena kitu IG yake nikashuhudie msambwandaMoza kamanda wa CDM
Dada mrembo na anajielewa sasa kwanini kamanda asitulie juzi kileo alimtafta Joyce wamalize tofauti saa ngapi asi post mtandaoni na maneno kibao. Joyce ndo mchawi ya ndoa yake too much kuanika mambo ya ndoa hadharani
Nakuomba tena kitu IG yake nikashuhudie msambwanda
Narudi Tanzania na Mimi si kwa huo urembo