Yeye kaona cha kazi gani wengine wameokota sasa anakililia tenaAnatumia moza_ally_mushi
Hahahahah...hahaaa " mimi navaa chupi ya mchepuko wangu kabisa halafu nikirudi kwa wife naomba mechi ili akinivua tu akutane nayo
ndio dawa yao hawa mbavu zetu "... nakumbuka niliwahi beba chupi ya demu mmoja hivi nikaiweka mfukoni " demu wangu permanent wa wakati huo " akaja kuchukua nguo na kwenda kuzifua akakutana nayo ... pakachimbika bila jembeHahahahah...
*****...
enzi za ujana hizo mkuu " nilikuwa mwehu sana " nakumbuka nilikuwaga na demu ni cheche ile mbaya na mimi moto unawaka " so ilikuwa Kama twakomoana hivi kwa sababu sote tulielewana na hakuna aliyekuwa anataka kumuacha mwenzie "... basi bwana kuna siku alinivuruga nikaona sio kesi " ... tulipokuja kukutana kwa bed ili tufanye matusi kati kati ya mchezo sinika jifanya nimenogewa ... hahaaa " nikaanza kulitaja jina la rafiki yake "... daaah ili kuwa balaaHahahahah...
*****...
Page yake inaitwaje?? 😛Moza huyo pictures from her ig pageView attachment 927253View attachment 927254
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ebana huyu ndo anayempelekesha osigelo wetu? Ngoja nimzawadie na kamchepuko kangu ka hiari aendelee kuutatiza moyo wa mbwabwaji wa kike
Aysee chuma hatariiiMoza huyo pictures from her ig pageView attachment 927253View attachment 927254
Alitaka jamaa asugue soli milele apige ngoko hadi vigimbi vipasukeEeeeeh
Mpenzi wake mpya..
Kafanya Joyce akumbuke aliolewa.. huyo demu atakuwa kamzidi kwa mengi.. ingekuwa demu wa ovyo ovyo hana mbele wala nyuma isingemuuma hivi..
Anaisoma namba.. lazima analia tu.. eti kisa gari analoendesha baba watoto..
Huyo mwanamke anatamaa mbaya ya pesa [emoji16]
Tupe iD ya insta usimsifie sanaDemu mkali na mkwanja wa maana!..Joy atajimurder
Mtoto.mtamu.hivi ana waka waka aisee joyce acha alie tu hata mimi ningekuwa kileo sigeuki nyuma.[emoji23] [emoji111]Moza huyo pictures from her ig pageView attachment 927253View attachment 927254
Hahahahaaaaa... Naona wewe ndio Joyce"Utakuwa unafokonyolewa" in Konki Konki Konki master voice!
Kwa mara ya kwanza leo umepata like yanguWivu wa nini hata kama angeongwa magari mia!!!
Kumuacha amuache yeye.. kumchafua mitandaoni amchafue yeye kujionyesha gangwe.. now ana mwanamke anampa raha anamuita mario aiseee nicheke tu..[emoji3]
Hata kama pesa anaitamani basi..
Ajue kunyamazia mengine shaaaaa
So you are not a man...Eh wanaume wana roho za pekee, anaweza ibuka raia kutoka misugusugu akatangaza nia kabisa na mkala pilau upya! I must be damned!!!