Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

ndio dawa yao hawa mbavu zetu "... nakumbuka niliwahi beba chupi ya demu mmoja hivi nikaiweka mfukoni " demu wangu permanent wa wakati huo " akaja kuchukua nguo na kwenda kuzifua akakutana nayo ... pakachimbika bila jembe
Basi unajiona mjanja mwenyewe
 
Haya mkuu. Nitafurahi siku nikiona ameshaurika na kuadmit kosa.
Ninachojifunza demi maisha ni fumbo sana. Kwan Kila mtu ana mtihan wake ambao atatahiniwa yy peke yake. Na mtihan wako sio wangu. Ingawa tunajifunza zaidi kutoka kwenye mitihan ya wenzetu. So Joyce kawa unao wa kufundisha mwali vigori wa Zama hizi.
 
Haha akili yako kweli inakutosha mwenyewe. Ukamaliza vipi sasa
 
ni wanawake wachache sana ambao wana tambua misingi ya hiki ulicho kiongea ".. haswaa wanapokuwa katika uchumi mzuri halafu wanaume zao wakiwa wame yumba kimaisha ... hapo ndio huwaga ndio mwanzo wakuitambua rangi halisi ya mkeo uliyenaye kwenye ndoa yako
 
Haha akili yako kweli inakutosha mwenyewe. Ukamaliza vipi sasa
alikuwaga ni mtata huyo alinisukuma nikaangukia kando halafu kesho yake akaenda kulianzisha kwa yule shosti yake ... yeye mwenyewe alikuwaga ni mapepe so nadhani alijitathmini nakuona kuwa nivitu ambavyo hata yeye huwa anavifanya .. so akaamua tuendelee tu na mahusiano yetu .. but urafiki na shost yake ukafa rasmi
 
kaswali kangu ni haka tu, umeolewa??
 
Mithani ipo wengi tunakumbana nayo. Joyce ni mfano mbaya kwa wasichana na wanawake ambao hawajapevuka vizuri kiakili.
Imagine anawaharibu wanawake wangapi kwa mtindo wake huo wa kuponda wanaume na ndoa kwa ujumla? Anatazamwa na watu wengi sana sasa mtu km hana akili akifata mambo yake lazima apotee.
Tatizo lake ni moja tu hashauriki maana sidhani kama amekosa washauri. Hajitambui yaani empty set kabisaaaa
Ninachojifunza demi maisha ni fumbo sana. Kwan Kila mtu ana mtihan wake ambao atatahiniwa yy peke yake. Na mtihan wako sio wangu. Ingawa tunajifunza zaidi kutoka kwenye mitihan ya wenzetu. So Joyce kawa unao wa kufundisha mwali vigori wa Zama hizi.
 
Soma
 
Binadamu ndivyo walivyo hatutaacha kuongea. Lakini tambua kuwa kuna baadhi ya mambo ukiyaexpose mtandaoni kuna madhara makubwa. Tutumie mitandao kwa kiasi
Huyu dada acheni alalamike aisee tatizo kamanda alikuwa hajamaliza ujana sasa hivi ndo amejua ladha ya nyapu ndo maana karukwa na akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…