Huyu dada acheni alalamike aisee tatizo kamanda alikuwa hajamaliza ujana sasa hivi ndo amejua ladha ya nyapu ndo maana karukwa na akili
hehee nimekupenda bure ... are you married !!?
hahaa ... nitakutafuta tuyajenge acha roho mbaya
Hahaa aisee " kwa heri
no comment aisee "... haaha kwante una visaHaha ushapigwa biti
Ndio wa Chadema Kinondoni.Hivi ni kileo yule wa Chadema?
Tutaagiza tu " hata Tanga fresh " ondoa mashaka
daah haya bhana naona wafanya kampeni ya kunikwepa ..tehee
na nini sasa jamani !!? ...Naogopa nitakufwa miee
na nini sasa jamani !!? ...
Shkamoo mwalimuYaan bestie kuna mambo ukiyaona unajiuliza hivi imagharimu nini kujifanya mjinga?
Wanawake huwa tunakosea tena sana tuu. Lkn ukijishusha na kuamua kweli kubadilika ndoa yako haita vunjika miaka mia 8.
Hata kama.mume ni abusive kama.polisi wa staki Shari lkn ukiwa submissive from your inner heart lazima huyo mume atulie na abadilike taratibu taratibu. Ubabe ndio za kiume Sasa unapokutana na feminist ambao eameuvaa uanamme wa majukwaani af uwe ni from chagga lazima utaisoma namba ya kegete.
Bottom line Joyce anaipenda ndoa yake na hata kilewo kaka yangu ni hivyo hivyo. Na anachokifanya kilewo ni kudraw attention ya kiria Sasa kiria anatakiwa awe kama taa ukibonyezwa tu switch ww umeshawaka mita kadhaa mbele. Unawaangazia nuru kuondoa Giza ndani.
Siku zote Giza huondolewa kwa nuru na sio kiza kingine
Marahaba mwanafunzi wangu. Je haujambo?Shkamoo mwalimu
Sijambo mwalimu. Ila nakudai ada mwalimuMarahaba mwanafunzi wangu. Je haujambo?
😎 Happily married blessed with four brave, handsome, bright boys and one sweet, cute, strong, blessed and intelligent girl. Uniletee binti yako nichumbiekaswali kangu ni haka tu, umeolewa??
Ili nalo ni neno dearestMithani ipo wengi tunakumbana nayo. Joyce ni mfano mbaya kwa wasichana na wanawake ambao hawajapevuka vizuri kiakili.
Imagine anawaharibu wanawake wangapi kwa mtindo wake huo wa kuponda wanaume na ndoa kwa ujumla? Anatazamwa na watu wengi sana sasa mtu km hana akili akifata mambo yake lazima apotee.
Tatizo lake ni moja tu hashauriki maana sidhani kama amekosa washauri. Hajitambui yaani empty set kabisaaaa
Iv mwl ndo anadaiwa ama mwanafunzi? Kwanza nip hongera yangu. Mwenzio nimebarikiwemo kadada this time. Baada ya madume kuizunguka meza ipasavyoSijambo mwalimu. Ila nakudai ada mwalimu