Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Sasa huko kulalamika kumemsaidia nini zaidi ya watu kumuona hana akili, kaharibu had kipindi chake kimekosa mvuto kwa jamii. Ujue kila mtu Ana matatizo yake Ila Wana solve kimya kimya tu.
Alikosa sana kuskiliza ushauri. Ujue ambition yake alitaka amfikie oprah Winfrey, asijue kufika pale kuna hitaj nidhamu sana
 
Mi ukiwa Ex wangu af kila siku naskia unasema sijui kukatika najua tu unamiss nilivokuwa nakuminya mbavu!
 
Mwambien Huyo Mwanamke Ajichunguze Ni Wapi Anakosea Cyo Bure.
Source - JF Expert Member
 
Mnaanza kwa kusema bure lakini watu wakifika huko mnaanza jamani mchango wa kumchangia mwalimu fedha ya nauli,mara kulipia sehemu ya ukumbi etc,Kama ni Bure kweli nyie mnafiadika na nini? au ni kazi ya kanisa mnalipwa na mungu?
 
aiseeeeee
 
Hao ndio mademu wa kuwa nao aisee, sio hawa kajamba nani mtu alikusaidia nauli ya kwenda interview ukapata kazi ndio inakuwa point ya kukusimangia hio, kila mkipishana kidogo eti kisa una kazi sahivi!!! Shenzee,
mmmhhh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…