Kweli....hivi kwanini hana siri, kila kitu anaropoka?Lazima achanganyikiwe na yote kasababisha yeye mwenyewe. asingeanika mambo ya mumewe mtandaoni nakwambia jamaa angekuwa amesharudi kwa mkewe. Anatumia uharakati wake vibaya. Kileo harudi leo wala kesho labda Joyce aamue kubadilika, ana tabia mbaya
Kweli. ...kule insta wanamchora mbayaaLakini kuna kipindi alimuanika sana huyo kaka mabaya yake mitandaoni,
Kama aliona anaweza ishi bila yeye atulie tu.
Lakin kama hawezi akubali kushuka na aache kututangazia ya nyumbani kwake !
Matatizo ya ndoa hayasolviwi mtandaoni na watu walikua wanamchora tu wanamkomesha kwa kiherehere chake
NimeaminiUnaambiwa malipo ni hapa hapa duniani
Ana matatizo halafu nadhani hataki kushauriwa. Analalamika mambo ya msingi lkn why dunia nzima ijue? Ili iweje?Kweli....hivi kwanini hana siri, kila kitu anaropoka?
Uvumilivu huwa una kipimo..!Kama amefikia pa kuja nyumbani na gari ya mpenzi wake mpya kubali kuwa na mahusiano ya kuleta watoto. Penzi hapo limeota mbawa.
tunaomba nasisi utusaidie jinsi ya kumgundua kabla hajawa mpenzi wako na baadae kuoana!Sijapata kuona mwanamke mpuuzi kama Joyce Kiria.
House girl ni house girl tu.Faiza ana akili kuliko Joyce kiria
Once a house girl, always a house girlMwanaume akikuchoka yaani hata ulie kilio cha namna gani ni kazi bure. Kinachonishangaza sio malalamiko yake lkn why kuanika kila kitu mtandaoni? Juzi Kileo kanunulia watoto viatu eti anatoa asante mtandaoni. Huyu dada hana akili..mara mia Giggy Money
Ha haa wengine wako PoaOnce a house girl, always a house girl
Mchaga mshamba sana huyu atakuwa wa kishumunduJinamke jinga sana hili...sijui ni lichaga la wapi??
Wacha ajifaidie wanawake nanyie mnajua umiza kichwaHawara ake jamaa