witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Kweli....hivi kwanini hana siri, kila kitu anaropoka?Lazima achanganyikiwe na yote kasababisha yeye mwenyewe. asingeanika mambo ya mumewe mtandaoni nakwambia jamaa angekuwa amesharudi kwa mkewe. Anatumia uharakati wake vibaya. Kileo harudi leo wala kesho labda Joyce aamue kubadilika, ana tabia mbaya