Joyce Kiria bado anatapatapa. Amvua nguo 'mume wake', Henry Kilewo

Aisee " alijifanya kuleta u-super woman mpaka ndani ya nyumba yake ... acha jeuri yake imtafune sasa
U super woman kwa ndoa utaula wa Chuwa hafu kumzalilisha mumewe watu walimshauri akagoma sasa acha a jifunze kulala na mto
 
Watoto wao sasa wale bado wadogo..duuh
Watoto watakua una jua kiria asingekuwa Ana mzalilisha mume angerudi sasa kujitangaza ndo kumemkimbiza ngoja na wanawake wajinga wamuige hyo tabia mwishowe waachike yeye na u super woman anajiliza daily
 
U super woman kwa ndoa utaula wa Chuwa hafu kumzalilisha mumewe watu walimshauri akagoma sasa acha a jifunze kulala na mto
kama mimi ndiye ningekuwa kamanda ... baada ya kuuona huo waraka wake ... kesho ningekwenda car rental " ninge kodisha X6 ninge li change plate number kwa muda mfupi tu ". then ningekwenda nalo home kuwasalimia wanangu
 
Kweli mmemwamulia huyu asiyejua kupendwa
 
kama mimi ndiye ningekuwa kamanda ... baada ya kuuona huo waraka wake ... kesho ningekwenda car rental " ninge kodisha X6 ninge li change plate number kwa muda mfupi tu ". then ningekwenda nalo home kuwasalimia wanangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Yaani mumewe kuchepuka na mmoja tu analalamika dunia nzima kwa page ndefu ya lawama. Ingekuwa ni ile enzi ya mitume waliokuwa na wake zaidi ya 10 huyu angejiua. Wanawake wabinafsi sana. Unataka uwe peke yako kwani wewe ni mama yake mzazi.
Ume nichekesha sana
 
Inaonesha kaumisi mshedede huyu, mbona analia lia?
 
Yaani mumewe kuchepuka na mmoja tu analalamika dunia nzima kwa page ndefu ya lawama. Ingekuwa ni ile enzi ya mitume waliokuwa na wake zaidi ya 10 huyu angejiua. Wanawake wabinafsi sana. Unataka uwe peke yako kwani wewe ni mama yake mzazi.
Mitume gani hao walikuwa na wake kumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…