KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu
mwanaharakati wa kutetea wanawake ,binafsi namuunga mkono
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu
Kuunga pipe ndo nini mkuu! make naisi nimezeeka.

mmmmhhhhhhhhh
NCHI HII INA THE RIGHT TO PRIVACY ndani ya katiba, na inalindwa kwa njia mbili,civil na criminalNakubaliana na wewe kabisa. I am con[JFMP3][/JFMP3]cerned with kuingia kwenye nyumba za watu kwa nguvu na kulazimisha kwa kuwaita polisi anapokataliwa. Sikatai anachokifanya, atumie sheria. kama mtu hataki aingie kwake aende mahakamani afungue kesi kumsaidia huyo anayemtetea. Tusifanye mambo kinyume cha sheria, tunaweka bad precedents kwa hao wanaojihita wanaharakati.
Nidhamu huna Dogo, talaka zake na Carolite zinakuhusu nn ww?
Kuunga pipe ndo nini mkuu! make naisi nimezeeka.
NCHI HII INA THE RIGHT TO PRIVACY ndani ya katiba, na inalindwa kwa njia mbili,civil na criminal
Anaweza kuwa anafanya civil trespass kwenye sheria ya madhara(tort)na anaweza kudaiwa fidia or criminal trespass akapigwa faini au kufungwa,nyumbani kwako ni himaya yako binafsi,let her lawyers tell her that she plays a dangerous game
Asante kwa elimu. nani najua hivyo! Wanasheria wake wanampoteza. Cha jabu ni kuwa hata Tawla , Tamwa anaowakimbilia they do not caution her on this dangerous practice
Tuna wasiwasi na mwenendo wote wa familia yako wewe unaye mdis joyce pole bana ukweli unauma sana sana!!!!
Ni housegirl mstaafu, baada ya kustaafu amekuwa kanjanja japo anajiita mwandishi wa habari, ana talaka kadhaa kibindoni baada ya kuunga paipu kama fundi bomba, ni mweusi tii ila anatumia kalolaiti awe mweupe ili aendelee na safari ya kuunga paipu
Please give your comments, kwa nia njema tu.